J wizzy
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 459
- 537
Carlo ancellot alipofukuzwa, alikua anaifundisha ndanda kumbesababu kubwa ya pep kuondoka bayern ni kutaka kuleta mpira wa pasi pale kitu ambacho wajerumani hawakitaki hao bayern toka pep ameondoka wamechukua UEFA? ...Mbona kocha hawamtimui?




