Wewe jamaa kila uzi unaomhusu pep nakukuta nipe siri ya hili mkuuPep aende kuisuka Arsenal
Sababu ManCity ndio timu bora kuliko zote dunianiWewe jamaa kila uzi unaomhusu pep nakukuta nipe siri ya hili mkuu
Haya pambaneni msikose Epl maana tunawajua uefa hamna safariSababu ManCity ndio timu bora kuliko zote duniani
Nafikir msimu huu umeuona
Man city hawana loloteHaya pambaneni msikose Epl maana tunawajua uefa hamna safari