Pep Guardiola atamchelewesha sana Haland kufika

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
9,575
7,860
Kwanini alimtoa Halland jana wakati alihitaji goli moja kuvunja rekodi ya Messi?

Au Pep ni mshabiki wa messi ambaye anajaribu kuzuia rekodi zake zisivujwe? Jamaa kwa kweli anazingua sana. Jamaa amekeua akimpunguzia sana Haland mabao. Kwa haraka hata goli 10 za ziada angelikua nazo kwa sasa toka msimu ulipoanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom