nimejaribu sana kujiuliza hao people ni kina nani, lakini sasa sipati tabu tena, hao people wanaonekana kwa vitendo vyao...Njaa mbaya yaani unadanganya mchana kweupeeee ili upate kuingizwa kwenye malipo ya Buku 7. Sasa usipo ingizwa sijui utakwenda kuuza nyago?
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Slogan ya CDM ya peoples
power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni
kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja
kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao
"people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples"
hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya
"peoples power" Kwa tafsiri nyingine
peoples power ni "power
for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa
watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni
CCM...
ngoja baba yenu aje toka majuu tuone kama ofisi haijafungwa kutokana na mtikisiko wa kiuchumi, we unafikiria izo per diems ni mchezo, halafu na misafara ya walinzi binafsi...hizo gharama si ndogo ndugu...Wakati mwigulu nchemba akitumia pesa za wauza unga(wafadhiri wa ccm) eti kufungua matawi marekani na uk,imebainika kuwa matawi ya ccm tz mengi yamebakiza wafuta vumbi maofisini sababu wanachama wengi wamekihama chama hicho.ccm inawapumbaza wanaccm wao kwa kisingizio cha kufungua matawi kumbe ni kutokana na ziara za viongozi wa chadema ambazo zinazaa matunda kwa kupata wahisani wengi tu.
Chadema dr slaa yuko marekani akizungukia taasisi muhimu sana za kukitangaza chama na kuzidi kupata wahisani toka usa.mbowe alikuwa denmark moja ya wafadhiri wakubwa wa chama hcho.
Amani golungwa alikuwa uk kwa mualiko wa conservative amabao wamehaidi kukichangia chama hicho takribani pound 1.2million na wiliam hague amevutiwa na sera za chama hicho. Kuonesha chadema ikiingia madarakani tz itarudisha uhusiano wa makampuni kama landrover,massey fugurson na makampuni mengi ya ujenzi.
Ccm na mwigulu wao ni kuwapikia chapati na pilau wale watanzania wanaotegemea benefit kutoka uk ili wawepo kwenye vikao vyao.
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
nashukuru kwa kunielewa
Jamaa we ni kilaza halafu next tym its better to shut up and be thought as a fool than to speak and remove all the doubts ...
nimejaribu sana kujiuliza
hao people ni kina nani, lakini sasa sipati tabu tena, hao people
wanaonekana kwa vitendo vyao...
Slogan ya CDM ya peoples power, inanipa picha halisi ya hao "people" ni kina nani...maana nilijaribu kupata tafsiri yake mpaka hivi majuzi kuja kugundua kuwa...
"people" ndio hao viongozi wa chama wenyewe...
Maana:
Safari za majuu , wanakwenda wao na wake zao... hao "people" sijawaona....
Majumba ya kifahari wanajenga wao.... hao "peoples" hawaonekani katika hayo..
SO:
Movement nzima na dhana halisi ya M4C na kauli mbiu ya "peoples power" Kwa tafsiri nyingine peoples power ni "power for ourselves"
Ni kujinufaisha binafsi wao wenyewe, na si kwaajili ya ukombozi wa watanzania.....
Wakombozi pekee na ambao watabakia kua wakombozi wa watanzania ni CCM...
Huna uwezo wa kututoa kwenye kujadili mambo ya msingi. muokota makopo
Yale yale ya hoja dhaifu za
kuzungumzia vitu ambavyo havina hata manufaa kwa taifa. Sasa hapa
unataka kumaanisha nini mkuu? Au unataka kuaminisha uma kuwa safari za
viongozi wetu wa CCM huwa wanatubeba na sisi wanachama wao? Sidhani kama
kila mwanachama wa chama fulani basi na yeye natakiwa aende kila sehemu
wanazosafiri viongozi wa chama. Jamani tuacheni ushabiki wa vyama na
tuizungumzie nchi yetu Tanzania tutaikwamua vipi hapa
ilipofikia.
Njaa mbaya yaani
unadanganya mchana kweupeeee ili upate kuingizwa kwenye malipo ya Buku
7. Sasa usipo ingizwa sijui utakwenda kuuza nyago?