Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee s............................. ..............................

Joined
Oct 24, 2011
Posts
33
Reaction score
4
Hongera CHADEMA kwa kuchukua jimbo la arumeru, mmeua big up Nassari, kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi watu hawataki porojokama za CHUKUA CHAKO MAPEMA ilo linazidi kutokea, BIG UP wana Arumeru kwa kuiamini CHADEMA, nina iman na CHADEMA watayafanya yote waliyoahidi i believe in CHADEMA..... Mfano mzuri angalieni sehemu zenye wabunge wa chadema na sehemu zenye wabunge wa CHUKUA CHAKO MAPEMA tofauti ni kubwa... Cheki mnyika anatembelea VITS
 
Hiyo ya kutembela VITS mhhh!
 
Bwana Livingstone Kibajaji hodi hidi mtera......

jamaa anastahili kupewa ukuu wa kitengo cha propaganda wa CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom