Hahahahah ata avatar yako ianonyesha jinsi unavyofurai hongera
wapi miss neddy tena na jirani yake Heaven Sent njooni huku muone raha ya ndoa lol Via not married aha aha
hahaa hongera yake aje ajue kulipalilia penzi liwe hot siku zote
Ngoja nikuoe tuone
Hahahahah ata avatar yako ianonyesha jinsi unavyofurai hongera
wapi miss neddy tena na jirani yake Heaven Sent njooni huku muone raha ya ndoa lol Via not married aha aha
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini. Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowooote ule. Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima. Jamani nyie msiyooa tafadhalini sana njooni kwa pande hizi muinjoy mpaka basi. Karibuni sana.
zaidi ya miaka kumi na bado naenjoy balaa
zaidi ya miaka kumi na bado naenjoy balaa
zaidi ya miaka kumi na bado naenjoy balaa
Mi nipo chamani bana! Utalalaje na nguo wewe?
Sina wasiwasi wa kuibiwa kwa vile game nampa la kutosha hata akitaka daily. Mawe nnayo ya kutosha wala hana shida ndogondogo za kurubuniwa kirahisi. Matatizo ya familia yake namaliza. watoto wanasoma shule imara. Labda wamvizie wambake. Mi mwanaume bwana!Chunga wasikuibie maana umemtangZa huyu wako kwamba mtamu wakati kuna wenye ndoa zao wanaona chungu. Na umetangaza kama nyumba za NHC
hahaa hongera yake aje ajue kulipalilia penzi liwe hot siku zote