Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,596
- 61,077
Sikufanikiwa mkuu, pia kipindi hicho simu ilikuwa changamotoKwahyo ukuichakata..mlipofika!!?
Dah inauma kishenzi.Sikufanikiwa mkuu, pia kipindi hicho simu ilikuwa changamoto
Haya matukio ya namna hii nadhani yatakuwa yamewakuta wengiDah inauma kishenz
Alafu unakuta alivyoshuka akapokelewa
Shimba ya Buyenze we si una umri sawa na mtoa mada haijawahi kukuta hii π€Imepita miaka mingi kidogo, kipindi hicho nikiwa bado kijana machachari wa totoz; ila kwa uzee wangu huu wa miaka 77 inabaki kuwa tu stori...
Maisha yana vituko sanaMwalimu wa watu umefanya nini
Aje atupe stori mkuuShimba ya Buyenze we si una umri sawa na mtoa mada haijawahi kukuta hii π€
Kumbuka hata wahuni wanazeekaKWA staili hii...kweli hatuna wazee!
Kweli nimeamini uke msemo....wazee wako kenya!
Nitubu kwa lipi mkuu?Mzee tubu
Ila yanatokeaMbaya sana hii
Ndio ivyo, ila jogoo halifi Kwa utitiriIla yanatokea
Ungekuwa wewe ungefanyaje mkuu?Daaa!, waliokaa nyuma yetu wakasimama wakaanza kupiga chabo, ndipo niliposhtuka na kutoa mkono haraka, nikajifanya nimesinzia.
Daaa ππππππππΎ!.