Penzi limekufa kimasihara

Penzi limekufa kimasihara

Kila kitu kilikuwa kwenye mstari , kitu kipi mkuu kama ni ndoa ulikua unaenda kumpiga na kitu kizito kichwan.
 
Sijui nianzie wapi ila kiufupi simu yangu ilikuwa diverted na mtu nisiemjua. Baada ya watu kunijulisha hilo kuwa wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima simu yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..

Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya maana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaani akitoa inajirudisha inakua yaleyalee. Sasa huyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana maana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuzi huo.

Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka. Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi na yeye hawezi niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.

Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu. Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari. Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekuwa tunaongea wenyewe kwenye simu.

Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert maana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia. Kubadili laini sitaki.

Upweke mbaya sana jamani.

Yanweza kuwa matatizo ya network, hivi kweli unashindwa kwenda voda aua network yako ndani ya dakika 10 wakatatua tatizo? Au unataka kutupanga?
 
Sijaona sababu hapo niupuuzi tu we kaza kausha mute fanya mamboyako huyo atakuja tu atajileta mwenyew nipo hapa utakuja kuniambia
 
Ni kama nimekuelewa hivi mwanaume unaambiwa basi nizime cm yangu alafu wewe ipige atapokea uyoo kidume mwenzio uongee nae eti badohaelewi, naanza kupata akili kiduchu sasa.
Achana na wanaume wa Dar My Love, hao ndo Kila kukicha humu wanakauli mbiu isemayo "Kataa Ndoa" .

Wao akishakukula weeee Kwa GIA ya kukuoa wanageuka na kukutafutia sababu ya kukuacha

Ni wanaume waoga wa Maisha .


Njoo kwangu Honey, ukutane na Mbooo ya kisukuma kitu hogooo, kazi kazi, alafu navyochelewa kukojoaa uwiii mpaka dakika 50 tuasakata lumbar tuu , alafu kwenye michezo Sasa ndo balaa zaidi pitia Uzi wangu wa Thread 'Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)' Jinsi ya Kumfikisha mwanamke Kileleni (Mfanye mwanamke wako akojoe kwanza kabla yako)

Kwangu utakojoaaa, utafika kileleni haswaa.

Yaan Esther, kuhusu huduma Wala usijali !!


Karibuu
 
Sijui nianzie wapi ila kiufupi simu yangu ilikuwa diverted na mtu nisiemjua. Baada ya watu kunijulisha hilo kuwa wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima simu yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..

Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya maana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaani akitoa inajirudisha inakua yaleyalee. Sasa huyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana maana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuzi huo.

Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka. Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi na yeye hawezi niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.

Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu. Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari. Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekuwa tunaongea wenyewe kwenye simu.

Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert maana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia. Kubadili laini sitaki.

Upweke mbaya sana jamani.
Pole, rekebisha kwanza hilo suala.
Mwambie kuwa ulikosea, na bado unampenda hivyo akiwa tayari muyaongee na msonge mbele.
 
Laini ya simu husika Piga *#21# kujua namba husika ya simu zako zinapokwenda na kujiondoa piga ##21# suala lako la simu litakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom