Penzi limekufa kimasihara

Penzi limekufa kimasihara

Mi nilikua nakutafutia sababu tu ili nikuache sababu nimeshaipata sikusamehi tena hata uombe ushauri jf au CNN
 
[emoji4] anahitaji msaada wa kisaikolojia tu atakuwa sawa.Mwambie asichukulie mambo serious kiasi hicho jamaa anatikisa kibiriti tu, otherwise alishajipanga kwa tukio amepata tu sababu, so a-relax.
Unajua nimebembeleza sana nikajikuta mi ndo mpigaji cm mi ndo nianze kila kitu nikachoka nikajiongeza. Mtu anakaa kimya mwezi mzima!! Hapana aisee
 
Kuna namna ya kuzungumza na mwenzi wako kwa kushauriana. Km ulianza kumwambia kwa hasira, wengine hatupendi kufokewa.
Kama unatumia simu ndogo, ingia call center-call settings, chagua SIM card unayotaka kutoa kisha call divert - Cancel all diverts.
Natumia cm kubwa
 
Shida, nyie wanawake, mkijiona mpo peke yenu halafu una mtu mpole mpole unaanza kumpelekesha.
Unaanzaje kumshutumu mwenzi wako wakati analinda mali yake?
Unamshutumu mtu, tena kwa hasira na kumkaripia halafu jambo hajafanya. Huwa inaudhi sana.
Huyo jamaa amefanya safi sana. Amefanya jambo la maana. Kuna mwenzake hapa naye anajiamini utafikiri tumezaliwa tumbo moja.
Nitamfanyie mbadala muda siyo mrefu.
Napenda kumiliki gentleman so kama anapelekeshwa hanifai napenda mwanaume shababy anaeongea kidogo tena mara moja tuu nikamuelewa.
Nimpelekeshe mwanaume!! Chinekeneeee
 
So umeshindwa kutoa diversion , kweli?
Unashaa au unauliza? Nilipiga cm nikaelekezwa jinsi ya kufanya na iliniandikia call fowarding imekua cancelled sasa bado ipo unataka niende kwa mganga. Mxeew.
 
Kidiveirt lazima mtu ashike simu yako.

Hawez daiveti bila kushika simu yako.

Sasa basi , ninani Huwa anashila simu yako??.

Kama hayupo hata wakike... Basi Bwanako unayempenda na kumuamin ndio ameidivert .

Na lengo la kuidaiveti alidhan Kwa kufanya Ivo atasikiliza maengezi au atawafahm wote wanaokutafuta

Na hiii yote ni sababu ama ni wivu ila wivu wakisenge au alikua anatafuta sababu ya kukuacha ndio maana AMEJITENGA MBALI NA SUALA LAKO AMBALO KAMA MWANAUME, NDIO ALIPASWA ALIBEBE ILI APAMBANE NAHUYI MJINGA ALODAIVET SIMU YA MPENZI WAKE NA KWA KUFANYA IVO, WEE NDO UNGEZIDI KUJIONA UNA BOONGE LA MWANAUME.



KUTOKA KWANGU MIMI.



ALODAIVET HIYO NAMBA NI HUYO UNAYEMUITA BWANAKO AMBAYE SASA UNALIA NA KUTOA KAMASI KISA MPUUZI HUYO ASOKUA NAKILI.

SUALA LA KUKUACHA ALIKUA NALO TOKA ZAMANI.


[emoji117]KUNA NYUZI HUMU WANAUME WA DAR, WAKIOMBA JINSI YA KUACHANA NA WANAWAKE ZAO KIUJANJA .......... UTAKUTA BWANAKO HIYO MBINU KAITOA HUMUHUM KWA WANAUME DAD, WENYE KAMPENZI YA KUTOKA, KUMBE WANAOGOPA KUHUDUMIA
WAPENZI NA WAKE ZAO.



NITAFUTE KESHO TUYAJENGE MY WANGU, ACHANA NAHUYO MBWAAAA !!.

UZURI K HAINA MAKOMBO.
Ni kama nimekuelewa hivi mwanaume unaambiwa basi nizime cm yangu alafu wewe ipige atapokea uyoo kidume mwenzio uongee nae eti bado haelewi, naanza kupata akili kiduchu sasa.
 
Pole sana with all that renew the line, , Watu wana tetea tu hapa amna mwanaume makini ange kubali hili jambo aisee tena lina kuwa persistent nope. Magonjwa ni mengi sana
 
Sijui nianzie wapi ila kiufupi simu yangu ilikuwa diverted na mtu nisiemjua. Baada ya watu kunijulisha hilo kuwa wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima simu yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..

Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya maana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaani akitoa inajirudisha inakua yaleyalee. Sasa huyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana maana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuzi huo.

Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka. Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi na yeye hawezi niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.

Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu. Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari. Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekuwa tunaongea wenyewe kwenye simu.

Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert maana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia. Kubadili laini sitaki.

Upweke mbaya sana jamani.
Endelea na maisha mengine, imeisha hyooo usilielie
 
Nimeshafuta na namba yake, aridhike kama ndio ilikua nia yake..sijawahi mkosea mm.
Akili yako kama ilivyo kwa wanawake wenzako umeshawaza kwamba utapata boy mwingine na maisha yataendelea ni kweli uko sahii.... Lakini jua hata huyo utakayempata nae atakuja kukutafuna na atakupiga chini kimasihara na hutaaamini[emoji23][emoji23]

Jaribu kukumbuka wakati unaingia na mshikaji kwenye mahusiano utaniamini... Sikia dada yangu pigania penzi lako wanaume sasa tumeshtuka hatutaki kuchill kwenye relationship mda mrefu sasa kumicha madem ni kitu cha kawaida sana sasa hivi tumeshakuwa na addiction ni shida tupu.

Kama mwamba hakuwa na shida before anaweza kuwa ndo mwananume wako wa maisha acha uzuzu jivike ujasiri wa kupambania penzi lako unaweza kupata maono kuhusu kesho yako.

NB:Wanaume wengi tupo hvyo.

Nikutakie kuteseka kwema[emoji120]
 
Back
Top Bottom