Mwamba 777
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 2,780
- 4,505
Hivi unampenda mtu au pesa zake?Nimeshafuta na namba yake, aridhike kama ndio ilikua nia yake..sijawahi mkosea mm.

Hapana bwana [emoji23][emoji23]haiwezekani mwenzetu ateseke watu tupo Humu aje dm bwana akitaka niwe namtumia meme fresh na vitabuDaktareeee,unataka kuongeza chumvi kwende kidonda.
😊 anahitaji msaada wa kisaikolojia tu atakuwa sawa.Mwambie asichukulie mambo serious kiasi hicho jamaa anatikisa kibiriti tu, otherwise alishajipanga kwa tukio amepata tu sababu, so a-relax.Hapana bwana [emoji23][emoji23]haiwezekani mwenzetu ateseke watu tupo Humu aje dm bwana akitaka niwe namtumia meme fresh na vitabu
HAHAHAHAHAK
Ko umeshapoteza buzi la kuchuna kimasihara?????
Pambana na Hali yako wanawake mko wengi keshapata tapeli lingine
Jikaze tu kulia kulia kila muda ety unampenda aaah unamjaza upepo tu.Sijui nianzie wapi ila kiufupi cm yangu ilikua diverted na mtu nisiemjua. baada ya watu kunijulisha hilo kua wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima cm yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..
Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya mana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaan akitoa inajirudisha inakua yaleyalee.
Sasa uyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana mana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuz huo.
Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka
Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi nayeue hawez niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.
Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu.
Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari.
Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekua tunaongea wenyewe kwenye cm.
Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert mana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia.
Kubadili laini sitaki.
Upweke mbaya sana jamani.
Kuna namna ya kuzungumza na mwenzi wako kwa kushauriana. Km ulianza kumwambia kwa hasira, wengine hatupendi kufokewa.Nimeshafuta na namba yake, aridhike kama ndio ilikua nia yake..sijawahi mkosea mm.
PoleeeSijui nianzie wapi ila kiufupi cm yangu ilikua diverted na mtu nisiemjua. baada ya watu kunijulisha hilo kua wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima cm yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..
Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya mana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaan akitoa inajirudisha inakua yaleyalee.
Sasa uyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana mana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuz huo.
Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka
Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi nayeue hawez niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.
Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu.
Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari.
Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekua tunaongea wenyewe kwenye cm.
Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert mana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia.
Kubadili laini sitaki.
Upweke mbaya sana jamani.
Shida, nyie wanawake, mkijiona mpo peke yenu halafu una mtu mpole mpole unaanza kumpelekesha.pole
Kidiveirt lazima mtu ashike simu yako.Sijui nianzie wapi ila kiufupi cm yangu ilikua diverted na mtu nisiemjua. baada ya watu kunijulisha hilo kua wakinipigia anapokea mwanaume nikajaribu kuzima cm yangu kubwa nikatumia kiswaswadu kujipigia ile line nilozima..
Kweli iliita akapokea nikamuomba atoe alichokifanya mana calls zangu zinapita kwake. Alikubali.
Akatoa ila anadai ilijirudi tena yaan akitoa inajirudisha inakua yaleyalee.
Sasa uyuu mwanaume wangu ameshindwa kunielewa na tumegombana na tushaachana mana nilimshutumu yeye kumbe sio yeye
Amemaindi anasema hawez fanya upuuz huo.
Roho inauma natamani anielewe nimebembeleza sana nimechoka
Anasema kama sikumuamini nikamhisi amenidevert basi nayeue hawez niamini kwa huyo alienidivert kwamba simjui.
Kiukweli simjui na sijawahi kumsaliti mwanaume wangu.
Inaniuma kupotezeana nae mana tulifika hatua nzur kila kitu kilikua kwenye mstari.
Sasa sina mtu nipo tuu sijielewi nashindwa kuzoea maisha bila yeye muda huu tungekua tunaongea wenyewe kwenye cm.
Anyway mnisaidie nifanyaje nijiondoe na huyo mtu nisiemjua alienidivert mana ataniletea matatizo tena, nilishapiga voda wakanielekeza namna ya kufanya haikusaidia.
Kubadili laini sitaki.
Upweke mbaya sana jamani.
Mtu na pesa zake..hakuna maisha bila pesa nazitafuta na man angu pia natarajia awe mpambanaji. Kama huna pesa kabisa hunifai.Hivi unampenda mtu au pesa zake?