Penzi lake la mikosi kwangu

Penzi lake la mikosi kwangu

Mr.Duttu

Member
Joined
Nov 7, 2015
Posts
91
Reaction score
57
Jamani wana jamii naombeni ushauri wenu,

Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu nae katika mahusiano nae kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5, pindi tunaanza mahusiano yeye ndo alinitaka mimi kimapenzi ila mimi nilikuwa na lengo moja tu la kusex na yeye kisha nimuache kwa kuwa sikumpenda kwa dhati toka moyoni mwangu.

Lakini baada ya kusex tuu basi akawa ananiganda sana kiasi kwamba nikawa nashidwa kumu escape maana alikuwa ananipa vitu mbalimbali kama fedha na kadhalika, kwakuwa nilikuwa sina kipato chochote basi nikajikuta na endelea kuwa nayeye kimapenzi kwa muda wa zaidi ya miaka 5 lakini kinachonishinda kwa mwanamke huyu,kila napofanya naye sex napata mikosi tuu ya kimaisha.

Ndugu zangu naombeni ushauri wenu nifanyeje nimechoka na mikosi nayoipata kutokana na penzi la uyo mwanamke?
 
Yani miaka mi 5 yote wewe nimikosi tuuu hakuna hata mara moja ulopata bahati? kwanza umsema mwanamke huyo ndio anaekupa hela sasa unahongwa halafu anaekuhudumia unasema anakutia mkosi mkuu mbona kama sielewi unataka kusema nini? au wewe ndio unamkosi?
 
Mtu akitaka kuacha anatoa hata sababu zisizoeleweka miaka mitano yote leo ndio anaona hiyo mikosi, watu wengine bana mmh
 
kwahiyo miaka yote 5 hakuna ulichokifanya!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ilikuwa ni mikosi tuuuuuuu
 
kwana kama ni mtu mwenye mikosi hata kumtamani tu usingemtamani, kuna watu ukisex nao hata nguo zinakuwa hazikutoshi, mara vitasa vinagoma kufunguka watu hawakupigii, text, wala kukubeep watu woote kazini wanapata mishahara ila wewe unasahaulika hadi udai kwa barua achana gundu wewe hulijui tu
 
Ni heri hata usahaulike kwenye mshahara!

Wengi wamekumbana na termination letter!
 
Yani miaka mi 5 yote wewe nimikosi tuuu hakuna hata mara moja ulopata bahati? kwanza umsema mwanamke huyo ndio anaekupa hela sasa unahongwa halafu anaekuhudumia unasema anakutia mkosi mkuu mbona kama sielewi unataka kusema nini? au wewe ndio unamkosi?
Ukhtiy... kweli nawe unaamini kitu hii "Mikosi" ?!?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom