Saa mtu ana miaka 26 mnataka atulie tuu Kwan zari alipokua na 26 kuna mtu alimtuliza??? Msitake dai aishi maisha ya kizee wakati hata therathin hajafika hebu kuweni fair bwana
Zari kachanganyikwa baada ya kuchokwa na uzee wake, baada ya Mond kutafuna demu wa Ghana yeye Zari anajipa hope eti kapiga deal ya pesa ndefu this week.
Sex afanye mwingine maneno yawatoke wengine.Acheni uswahili kila mtu na maisha yake Wangapi mtaani wanabadili wanawake na wanaume kila siku???Mjaji celebrity kwa kazi zake maisha binafsi hayakuhusu kabisa.
Siku ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond Platnumz, Kifesi alipost picha ya boss wake Diamond kwenye ukurasa wake wa instagram Picha ambayo alimpiga yeye, baada ya post hiyo mzazi mwenza na mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady akakoment kwenye post hiyo kwa kuweka emoji ya kidole cha kati.
Baada ya Zari kukomenti hivyo mashabiki wakahusisha hilo na swala ambalo Diamond anadaiwa ya kuwa yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 anayetokea Namibia, Dilish Methew huku ikisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi kitu kilichomfanya Zari akomenti vile kwenye picha ya kifesi aliyompost Diamond.

Diamond analiwakilisha taifa.hasa hasa kwenye maswala ya dyudyu.....Ila tuwe wawazi,ukiwa superstar mkubwa mwenye calibre kama ya dmond kutokutembeze d kwa watoto wakali wakali ma-miss ,models au actresses ni uzembe wako tu....Watu wanatumia umaarufu wao vizuri..Rejea Cristiano Ronaldo alichokifanya baada ya kuwa Star... Ni kutembeze d mwa-mwi...Narudia,kuwa superstar kuna mpa mtu chance ya kuchezea papuchei yyte katika territory yako,ndio kitu diamond anafanya.Zari hawezi mlinda dmond kutokufanya yake,she can only dream.Hapo kaona kazidiwa ujanja akaamua aposti mambo ya mpunga,unadhani yeye haoni WIVU?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.