Penzi la Ulaghai!

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,818
Reaction score
3,431
Sio kila mtu anayesema anakupenda,ana maanisha!

Leo nimekumbuka Wimbo wa vijana wa Zamani," Penzi la Ulaghai" raia wa Sinza, Hotel 92,Watu Njatanjata, Eddie Shaggy na nduguze! Salvador father Kidevu! Hatari sana.

Hawa Matapeli wapo mpaka leo,anakula hela yako,anapotelea gizani
 
Reactions: 004
umemsahau Asia Daruwesh kwenye kinanda
 
umemsahau Asia Daruwesh kwenye kinanda
Kweli kabisa,ilikuwa hatari zaidi ya Danger ,Shughuli unaanza kuisikia toka Sinza Palestina,Madukani,Mugabe.......Walitisha hao watu enzi zao! Ya kale Dhahabu,hakuna jipya chini ya Jua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…