kuwa nani!!!dogo una mda ujatumia diclopar eeh endelea
sijambo mchepuko ....yupo poa anafuafua hapo nje,umeenda church au ulikesha kwenye vigodoro
leo mantillie kapika katoliki aisee njo home basi ntasema binamu anakuja
Usiogope malkalia wa selfu dogo ,mama ntilie anaenda kisarawe njo uzibe pengo
kwani utaniaba?
wala tena anarudi kesho sio uje ugande nikose kote afu vaa ila nyepesi mi napasha pasha hapa GYM
sio uma....ila ni mchepuko wa kawaida to mummy,nisamehe basi kama nimekosa
asante mummy hivi leo uko team gani?au wewe mpenzi wa rede
nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penz motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.
dear mamantillie hapa MMU ni wazushi,hawafiki level zako,kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penz stress,mamantillie we ni wangu for life mwah,MMU tupa kule
Mwenzako mi naogopa....