haya mama nawa mikono,chukua hilo paja unalotaka
pilipili unatumia
yani akifunga napewa chapati maharage heavy then majotro
unapenda dezo dezooooo
miss neddy sio dezo yupo so real afu natural hajipaki mapredator usoni ,nampenda afu msafi kikuzi
nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penz motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.
dear mamantillie hapa MMU ni wazushi,hawafiki level zako,kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penz stress,mamantillie we ni wangu for life mwah,MMU tupa kule

mbali na hizo sifa huwa unampa nini kingine
anamsifia ili asikose msosi tu na hana anachompa
mbali na hizo sifa huwa unampa nini kingine
alot tu happiness,love,care ,respect,classical romance,security,company,ideas,fun stories,freaking each other,gifts,clothes,shoes,we go church together,listen to her feelings,and finally sweet words and dore miss neddy
umekuwa lini malaika @tea bag au unataka nikupe wewe afu teabag wa prisonbreak hana tabia za kichoko