nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penz motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.
dear mamantillie hapa MMU ni wazushi,hawafiki level zako,kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penz stress,mamantillie we ni wangu for life mwah,MMU tupa kule
yani akifunga napewa chapati maharage heavy then majotro
Hongeraa je anawasevia wangap? We jifanye wajua kuchepukika tu
nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penz motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.
dear mamantillie hapa MMU ni wazushi,hawafiki level zako,kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penz stress,mamantillie we ni wangu for life mwah,MMU tupa kule
nakupenda sana mamantilie kwa kunijali na kunithamini ,unanipa chakula na penz motomoto nafurahi sana nikiwa kwenye mgahawa wako ukihudumia huku unatabasamu ukiniangalia ,napenda umbo lako very easy to handle tukiwa faragha i really love you.
dear mamantillie hapa MMU ni wazushi,hawafiki level zako,kwanza ombaomba kinyama hawana hata aibu wanataka kuhongwa na bado penz stress,mamantillie we ni wangu for life mwah,MMU tupa kule
sio kweli mkuu ila kuhusu ID yako aisee nakulaga kwake sana
ndo uwezo wangu mi masikini anajua kazi yangu ndo maana kafurahi sana,kwako ni iko ila kwangu ni hiyo
nisamehe sitangazi tena tajiri ila kuhusu penz ,amani furaha na msosi hehehe POLE