Penzi la kwanza

Penzi la kwanza

Yaani utatamani upeleke mbele kama zile unafungua kurasa za kitabu...

Nakuwish kabisa happy new year...lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums


asante na wewe pia
 
Habari Za Usiku sana MMU. Hivi nikweli kwamba mtu hupenda Mara moja tu na mpenzi wa kwanza ni vigumu kumsahau?

Inategemea na factor nyingi mno sasa hata kama ulipata li mtu lililokuwekea sumu nusura ufe kisa lilikuwa la kwanza. ndo nizidi kukomaa tu kuliomboreza.First love my assssss...
 
Eee na wee jiulize kwanini mtu anazaliwa na mama mmoja na si zaidi:what::what:😉
 
Mie nAkumbuka aisee!ilikua ni noumer afu cjapendaga teeena
 
hutegmea mazingira mengi ili asisahaulike..sio tu kwa kuwa wa kwanza
 
maranatha, naomba updates za mechi kati ya Arsenal na Chelsea usiku huu, plse!
 
Back
Top Bottom