huu mwaka umekuwa mreefu mno
hauishi kabisa..
hamna kitu kama hicho
yaap minaami hivyo coz mpz wakwanza ndo anakuwa kilakitu kama mwongozo wako.endapo atakusaliti utabaki unaamin kwamba jinsia hiyo wote ni wasaliti.na kama atakupenda kwa dhat kisha wewe ndo ukasababisha mtengane kila mpz mpya utakaye mpata utabaki kusema hakuna kama yule.akikukosea kidogo utaxema mbona yule hakuwa hivi...mtazamo tu..
My first bf left and I was so mad at him but I don't know why I can't forget him after all these years.
So wewe kila unayeanzisha naye mahusiano unampenda asilimia sawa na waliopita?
inategemea na mtu na mtu
mie sijawahi kupenda kusema kweli...ila ninachojua u cn only truely love once. wengine infatuation au genye
Dah! maana hizi maada humu ndani....................huu mwaka umekuwa mreefu mno
hauishi kabisa..
Mimi bado mdogo wa mambo hayo jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Habari Za Usiku sana MMU. Hivi nikweli kwamba mtu hupenda Mara moja tu na mpenzi wa kwanza ni vigumu kumsahau?