Penzi la binti mlokole linanitoa jasho

Hongera ila binafsi mlokole, hata kufanya nae dili hapana aise
Ni hao uliokutana nao,pole
Wale wa baba kasema akimaanisha mchungaji wake πŸ˜‚hao hakuna rangi utaacha ona

Si ambao sihitaji mtu kati kumuomba Mungu , wachungaji nawaheshimu tu ila wao sio Mungu ,ukishajua hili hupati shida, wala hatuna shidaπŸ˜‚
Kwahiyo usiwaze mkuu wapo wazuri tu
 
Walokole ni Walokole tu
 
Utampata tu, jifanye mlokole, vumilia, ukipata mzigo na kuona hakuna jipya bwaga! Onyo, jiandae na miguno na vilio vya Yesu Yesu.....
Sielewi kwanini wanapenda kumsingizia Yesu KRISTO wakati wa kukandwa! Ina bore sana hata mhogo waweza kusinyaa mdau!
 
Kijana unamadini kichwani, ila usinichekeshe sana ninamajanga yangu leo, uzi wangu niliotumia madini mengi kichwani kuulemba, umekataa kukaa huko jukwaa la siansa, sina raha hata chembe walahi...
 
Mwambie aje kufanya mkesha wa maombi nyumbani kwako kuna vitu huvielewi hapo lwa majirani..
 
Okoka tu ukishamuweka ndani unaanguka
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…