Penzi la binti mlokole linanitoa jasho

Mpe hela mkuu, usiongee sana
 
Kwani wewe unamuelewa na kujielewa?
 
Wakati unamtokea yeye anakuja na arguments zipi kwanza, maana wew unataka msaada na wakati ushaelesa argument anazokuja Nazo huyo mdada mlokole
 
Wanaojiita walokole huwa ni wanafiki na wahuni wa chini chini huko kanisani kwao
Kweli kabisa, kunabinti mmoja kitambo kidogo nilikua nae katika mahusiano, na nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kwake. Huyu binti bwana alikua anasali Ingilikana, ilifika kipindi akaja kuniambia anajutia dhambi aliyo itenda pamoja nami, hivyo ametubu na anataka kubadilika. Aise nilitumia nguvu kubwa kumshawishi lakini wapi, mwisho wa siku nakuja kugundua kumbe huwa anatoka na kajamaa flani mtaani dereva bodaboda. Toka siyo hiyo sijawahi kuamini kunamtu yeyote aliyepo kanisani yupo salama.
 
Umeongea kiume kamanda bonge la Idear, ngoja nilifanyie kazi...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…