Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,265
- 14,522
Burudani zitanipita kando mkuu.Okoka tu. Hiyi ndo njia pekee.
asa we nae badala ya kutoa ushauri unamuita mwanaume mwenzako?Smart911 love hujawahi fumuaa mloloke umpe mwongozo mtoa mada???!![emoji848]
kijana kama unamtaka mrembo mlokole nakushauri chukua ushauri wa huyo mheshimiwa smart911.Huyo mheshimiwa na hayo mambo wapi na wapi?
Unaabudu kanisa gani, nifanye kuhudhulia...Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa mkuu, fata njia njema hautajutia
Komaa mzeyasa we nae badala ya kutoa ushauri unamuita mwanaume mwenzako?
Nasali church of Christ, Mungu yuko kila mahali mkuu, cha msingi fata mafundisho yake kwa nia, nenda kanisa la binti, mwoe… epuka zinaaUnaabudu kanisa gani, nifanye kuhudhulia...
Namsubili afike hapa..kijana kama unamtaka mrembo mlokole nakushauri chukua ushauri wa huyo mheshimiwa smart911.
Mkuu sio wote, mwanadam si malaika, hatujakamilika na ndio mana yatupasa kujitakasa kila mara.Wanaojiita walokole huwa ni wanafiki na wahuni wa chini chini huko kanisani kwao
Nataka nijalibishe kwanza saizi ya kitu...Kama umempenda binti wa kilokole, mbona taratibu zipo wazi
Nenda Kwa mchungaji wake, umweleze unataka kumwoa binti fulani hapo Kanisani kwake
Then mambo yote yataenda sawa, na Mke utapewa
NB; hakikisha nawe unakuwa mtu wa ibada
Kama ni Mzee wa hit and run utasubiri sana labda uwe mtu mwenye kibunda