labda wameona wanajichosha watu wenyewe hawaelewi mkuu.HAWAREMBI WALA KUBEMBELEZA UNAPEWA MAJIBU YAKO LIVE LIVE KABLA HUJAKIMBIA
siku hizi wana kipimo yaani anakupima hapo hapo mbele yako unaona daah wabongo bwana?ha ha, me nlipima mara 2 nikawa poa japo kwa kipindi kile nilikua sina hofu sana! Ila saiv nikienda pima tena inabidi nibebe mshauri nasaha binafsi ili yasitokee yakutokea.
ahahaaa gnite bwana kesho