blackberry m
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 563
- 415
Kwani wewe unavyopenda unanishangaa nini? Hata akisema tutoe hela nitatoauna penda vya bure bure eeh
Kwani wewe unavyopenda unanishangaa nini? Hata akisema tutoe hela nitatoauna penda vya bure bure eeh
Kumbe weee ni mwanachama hai wa chaputaEeeeh we huoni hizo stori zinavyohamasisha kupanda mnazi kwa mguu mmoja kwa sie ambao hatuna mademu
Upo njiani mkuuDah hatari sana muendelezo muda gani Mkuu?
Mavii, mkuu umevurugwa eeeeDogo upo maviii* Lete muendelezo dogoo

Aiseeee nimeona kabisa! Upo vizuri kwenye utungaji na maneno ya kisasa kimwendokasi zaidi
Niite Tupa wa Fasihi Mkuumkuuuuuuu mahogo tena hahahahahahhah boska zichanike kwa kujifanya wahusika wa hii story
Kila siku mama ana wakuta tuuuu
Umenikimbia mwenzako ninahuzuni nyingi rohoni hata pumzi haitoki
Teh naona mbwa kama mbwaKaribu katika dunia duara mkuu.
Hapa ni penzi juu ya penzi, Mpini ndani ya shimo.
Teh naona mbwa kama mbwa
Niweke nini Shunie jamanMichael weka bas
Yaani mi mwenyewe niko kodo hapaMichael weka bas
hiyo story ya hogoNiweke nini Shunie jaman
umeshajiandaa kupanda mnazi au ww sio kama HR 666Yaani mi mwenyewe niko kodo hapa
Mie nshajitoaga chaputa mkuuumeshajiandaa kupanda mnazi au ww sio kama HR 666

Umenikimbia mwenzako ninahuzuni nyingi rohoni hata pumzi haitoki
maiko bebe njoo endeleza storyHogoNiweke nini Shunie jaman

Mkuu tulia hii story ina chaiMapenzi yenye umeanza juzi tu hayo mambo ya unyoya Wa kuku Mara sijui Uzi kakufundisha nani?!
dogo anashushiwa uwezo na mizimu coz katoka shule kashajua kunyonya na kitumbua