Penzi Changa:- Let us share experience

Linaambatana na cku ya kwanza kuktana kimwli na kumtupia bao nyingi sana kuanzia 5 lkn bahada ya miezi bao moja nalo kupata kazi
 
Tripu za Dar to Dodoma zilinihusu sana, hadi madereva wa SHABIBY karibia wananijua wote.........
 
Haaa haaa eti diana wangu!.... Cku ya kwanza tu kakupa huyo alikuwa maharage ya mbeya

Hivi maharage ya mbeya yakoje mkuu...? Teh teh maana naona siku hizi maharage ya mbeya kuiva kwake ni shuhuri unaweza kumaliza gas
 
Mkuuu kanikumbushaa mbali kinyama.. Nilinyeshewa na mvuaa aiseee nimesimama chini ya mti namsubiri mtoto.. Kigiza giza cha jioni hivi....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…