Hatari sana!Hivi punde US imesema.
Pentagon official:
A Danish owned, Singapore flagged ship was hit by Yemen’s AnsarAllah cruise missile or UAV, earlier today in the Red Sea.
Additionally, 26 rockets (in batches of 14 & 12) and 3 UAVs (suicide drones) were fired by Iraqi resistance on 2 US bases.View attachment 2858253
Na hao wanaowaona kuwa kwa sasa ni mashujaa, badaye mzee wa kazi (US) akianza yake hao hao tena ndio wanaombea poo!!!Kenge hasikii hadi kwanza damu itoke masikioni..
Hao magaidi wa Houthi wanachokitafuta watakapoanza kukipata wataanza kulia lia kuwa wanaonewa sana
Ni suala la muda tu, NATO akisha kubali tayari na Nato ni US!!Mataifa mengi yameigomea US kutengeneza Alliance ya kupambana na Houth!
Italy na Spain zimekataa, Saudia, Misri, UEA zimemkatalia!
Hakuna kivipi nawakati ndo maelekezo ya allah kama mpango mkakati wa uislamu kutawala duniaKwenye uislam hakuna upuuzi kama huo.
Mungu wetu anetutaka tuishi nao vizuri hata kwa asie muislam, ila akianza kuzingua bhange tusimuache hivi hivi.
Utani tu huo wala sio mdini ,sijawahi kumchukia mtu angalia nyuzi zangu sina chuki na mtu ...Nafuata dini kimpango wangu sina time na mtu.Kama wewe unavyochukia wasio-waislamu wazi wazi ni swala la mda tu utaanza kuwashughulikia
Kwani si tulikubaliana waislam ndio magaidi wenyewe au imekuaje tena mmebadilisha Taito?Wataundiwa makundi pinzani ya kigaidi wasianze kulia Lia tena
We maniac mataifa gani?Mataifa mengi yameigomea US kutengeneza Alliance ya kupambana na Houth!
Italy na Spain zimekataa, Saudia, Misri, UEA zimemkatalia!
Hakuna ugaidi kwenye uislamKwani si tulikubaliana waislam ndio magaidi wenyewe au imekuaje tena mmebadilisha Taito?
We uliandika hakuna taifa linataka kuungana na marekaniSpain imekataa na imetamka wazi haitajiunga na hiyo coalition
We uliandika hakuna taifa linataka kuungana na marekani
View: https://twitter.com/Osint613/status/1741494984774181289?t=xsIG7m2OjyF7Gzz0y2aXIw&s=19
Unabadili mada wavaa vipedo mwaka huu akili zitawkaa sawaHuyo uliem quote mWanzo haukumuelewa aliandika mataifa yalokataa kuungana na US.
Habari za vita na kuuana waislamu wanazipenda sana😁😁😁Hivi punde US imesema.
Pentagon official:
A Danish owned, Singapore flagged ship was hit by Yemen’s AnsarAllah cruise missile or UAV, earlier today in the Red Sea.
Additionally, 26 rockets (in batches of 14 & 12) and 3 UAVs (suicide drones) were fired by Iraqi resistance on 2 US bases.View attachment 2858253
Meli vita ya marekani imezizamisha boti mbili za magaidi wa kihouth leoHivi punde US imesema.
Pentagon official:
A Danish owned, Singapore flagged ship was hit by Yemen’s AnsarAllah cruise missile or UAV, earlier today in the Red Sea.
Additionally, 26 rockets (in batches of 14 & 12) and 3 UAVs (suicide drones) were fired by Iraqi resistance on 2 US bases.View attachment 2858253
Hakuna nilichobadili.Unabadili mada wavaa vipedo mwaka huu akili zitawkaa sawa