Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,748
- 47,043
AiseeeKafa kikondoo sana Gen. Qassem. Hata risasi moja hakurusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeKafa kikondoo sana Gen. Qassem. Hata risasi moja hakurusha.
Pole sana Soleiman Alikua Mtu Mmoja Muhimu Sana Ila Kama Unahisi Kuuawa Kwake Ndio Kutakua Kumeivuruga IRGC Unakosea Mnooooo.....Lile shambulio lilikuwa na ujumbe mzito sana kwa Iran, kama ni kweli Solemani amefariki basi IRGC itakuwa imevurugwa sana.
Lakini sasa mkuu, Israel is a nuclear power. How do you turn a nuclear power into a dessert ??? Iran acheze karata zake vizuri hapa.
Kwa Matukio Makubwa Na Mengi Sana Jamaa Aloyafanya Basi Kashalipa Sana Kazi Yake Ya UjeneraliKafa kikondoo sana Gen. Qassem. Hata risasi moja hakurusha.
Iran hawezi jidanganya kurusha chochote ndani ya Israel maana hadi Marekani kumuua mtu mkubwa kivile maana yake keshapima maji kajua uwezo wa kuyavukaLakini sasa mkuu, Israel is a nuclear power. How do you turn a nuclear power into a dessert ??? Iran acheze karata zake vizuri hapa.
Lakini sasa mkuu, Israel is a nuclear power. How do you turn a nuclear power into a dessert ??? Iran acheze karata zake vizuri hapa.
We jamaa una imani ya mwendawazimu hadi nakuonea Huruma, jiandae kwenda Iran kumzika Ayatollah, kwa sababu mwisho wa Iran umefikaKwa alichofanyiwa Saudia juzi sizani kama Marekani ataingia vita na Iran, na lile lilikua ni onyo tu kwamba hakuna atakaebaki salama, hawa Wairan wanahasira sana ya vikwazo siku wakikinukisha ndio itakua WW3
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna missiles zimeshawekwa taari kila base ya Marekani iko on target kuanzia Asia mpaka Ulaya alaf bado ahadi ya kuigeuza Izrail jangwa iko palepale haijafutwa tokea 2012 mpaka leo View attachment 1310635
Sent using Jamii Forums mobile app
Range ndogo sana hizo, mwisho middle east tu range za ballistic za Iran, US unajua ana GPS Guided Intercontinental Ballistic missiles za umbali gani? km 10,000+
We jamaa una imani ya mwendawazimu hadi nakuonea Huruma, jiandae kwenda Iran kumzika Ayatollah, kwa sababu mwisho wa Iran umefika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafa kikondoo sana Gen. Qassem. Hata risasi moja hakurusha.
Kama Kaishayapima Maji Sasa Ayavuke Kwakuingia IRAN Ili Tuelewe Kama Kweli Kaishapima Kipimo Chamajim.......Iran hawezi jidanganya kurusha chochote ndani ya Israel maana hadi Marekani kumuua mtu mkubwa kivile maana yake keshapima maji kajua uwezo wa kuyavuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Kwamawazo Yako Unahisi IRAN Anataka Aipige Miji Ya US Wakat Yeye Atakua Anapigwa Kutokea Hapo Hapo Mashariki Yakati ?!Range ndogo sana hizo, mwisho middle east tu range za ballistic za Iran, US unajua ana GPS Guided Intercontinental Ballistic missiles za umbali gani? km 10,000+
Hajui kwamba Israel ni moja ya mataifa machache sana duniani yenye "nuclear triad", yaani yana nuclear missiles ambazo wanaweza ku launch by air, sea or land? Teheran inaweza kugeuzwa kuwa majivu.Lakini sasa mkuu, Israel is a nuclear power. How do you turn a nuclear power into a dessert ??? Iran acheze karata zake vizuri hapa.
Wamarekani huwa hawana maneno mengi ya shombo! Wao ni vitendo tu.
Lakini sasa kibaya ni kwamba vita ikianza na silaha za maangamizi zikatumika basi madhara yake yanaweza kuwa makubwa sana na hayataishia tu kwenye ghuba ya Uajemi: Mataifa mengi yatavutwa kwenye huu ugomvi kwasababu za kiuchumi hivyo kupelekea uchumi wa dunia lazima kuvurugika kwa kiwango kikubwa.Hajui kwamba Israel ni moja ya mataifa machache sana duniani yenye "nuclear triad", yaani yana nuclear missiles ambazo wanaweza ku launch by air, sea or land? Teheran inaweza kugeuzwa kuwa majivu.
Zote ni taka taka tuKuna missiles zimeshawekwa taari kila base ya Marekani iko on target kuanzia Asia mpaka Ulaya alaf bado ahadi ya kuigeuza Izrail jangwa iko palepale haijafutwa tokea 2012 mpaka leo View attachment 1310635
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hawataki kuoigana vita kwenye ardhi yaoWamarekani huwa hawana maneno mengi ya shombo! Wao ni vitendo tu.
[/URL]Tushapeleka wanajeshi 100 toka Fort Bragg NCarolina. 600 wengine wako njiani
Sent using Jamii Forums mobile app
ISRAEL Pia Hana Uwezo Wakurusha Hata Baruti Ndani Ya Mipaka Ya IRAN Tena Sio ISRAEL Tu Hatababa Ake US Kama Kaishayapima Maji Sasa Ayavuke Kwakuingia IRAN Ili Tuelewe Kama Kweli Kaishapima Kipimo Chamajim.......
Sent using Jamii Forums mobile app