Pensheni za CCM

mwanamasala

JF-Expert Member
Jun 20, 2009
248
12
Balozi wa Tanzania nchini Urusi, Jaka Mwambi amelipwa Sh. 16,320,000 zikiwa pensheni kwa kutumikia CCM.

I cant imagine Balozi wa USA hapa Tanzania,alipwe pensheni ya say Republican party kwa kukitumia chama chake.

WanaJF mjue hela zote za BOT scandals,EPA ,Meremeta ndio zinafund CCM.Ndio maana Rostam Aziz atatesa mpaka siku ya kufa
 
Back
Top Bottom