Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

PENGO aache kukurupuka! kukamata waalifu sio kazi yake! ni kazi ya polisi ambao wanautaratibu wao! lakini pia mbona hazungumzii watu wengine waliouwawa yeye anang'ang'ania Padri Mushi ambaye inahusishwa na biashara haramu.
are you norma!?
 
Mwaka 2015 si vibaya Pengo akachukua maamuzi ya kugombea nafas ya kisiasa,it seems siasa anaziweza sana kuliko utumishi wa mungu,
Mtikila ameweza yeye atashindwaje?
Ukweli ukisemwa na yeyote yule unabaki ni ukweli.

Pengo hahitaji kuwa mwanasiasa kusema ukweli.
 

Nawashangaa waandishi hata hawajui muundo wa uongozi wa kanisa. Kwa hilo si ajabu wamemuekea maneno mdomoni habari yote imekosa muelekeo
 
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana kabisa na Pengo kwani JK anahusika na yanayotokea ndio maana haagizi wahusika au shemeji (Mwema) kuchukua hatua.
 
Hiyo ndio hoja aliyoitoa Askf Pengo. Jifunze kusoma kwanza ndipo uchangie na sio kuongozwa na mlengo wa kidini au kisiasa.
kama Pengo si kiongozi wa Kidini basi niache na mlengo wangu wa kidini na kisiasa,ila kama ni kiongozi wa kidini ww ndo urudi shule ukasome,,,,,,,Pengo ametoa madai ya kisiasa kama walivyo wanasiasa,,,,yeye kwa status yake haya malalamiko si angeyapeleka kwa IGP?halafu angepewa majibu,,,,,sasa waandishi ndo watamwambia MWEMA AU JESHI LA POLISI?YE ANGEENDA KUMUULIZA MWEMA AU KAMISHNA WA POLIS ZENJ,NADHAN WANGEMPA MAJIBU,ALWAYS WANAOPAYUKA NI WANASIASA,NDO MAANA NAKWAMBIA PENGO AINGIE RASM KWENYE SIASA,tena kupitia chadema,jimbo la Katoliki atashinda
 
toa mapendekezo nn kifanyike?na pengo alipaswa kutoa mapendekezo pia
 
PENGO aache kukurupuka! kukamata waalifu sio kazi yake! ni kazi ya polisi ambao wanautaratibu wao! lakini pia mbona hazungumzii watu wengine waliouwawa yeye anang'ang'ania Padri Mushi ambaye inahusishwa na biashara haramu.
ndo hapo sasa,,,,,halafu yeye aambiwe ni nani hasa?
 
Anasubiri shinikizo toka kwa Wabunge ili aweze kumuachisha kazi kwa manufaa ya umma. Kama utakumbuka madudu chungu nzima katika Wizara mbali mbali na hasa Fedha, Nishati na Madini, na Utalii hakuchukua hatua yeyote ile dhidi ya Mawaziri husika hadi Bunge lilipomshinikiza kuhusu utendaji wa Mkullo, Ngeleja, Maige n.k. ndio akawaondoa katika baraza la Mawaziri, bila shinikizo la Wabunge hadi hii leo bado wangekuwa wanapeta kama Mawaziri. Ndio matatizo ya kuwa na "kiongozi", kama tunaweza kumuita hivyo, DHAIFU.

Nakubaliana kabisa na Pengo kwani JK anahusika na yanayotokea ndio maana haagizi wahusika au shemeji (Mwema) kuchukua hatua.
Nakubaliana kabisa na Pengo kwani JK anahusika na yanayotokea ndio maana haagizi wahusika au shemeji (Mwema) kuchukua hatua.
 
Unaonekana una akili ya PANZI.. Hivi unajua pengo ana ushawishi kiasi gani kwa wacatholic? Funga mdomo wako usilete mambo yako ya kishenzi hapa.. Mpuuzi mkubwa wewe..
 
Polisi wameuwa makumi ya Wananchi huko Zanzibar mwaka 2001 na Mwembechai 1998 Muadhama aliona ni sawa kwa Polisi kuuwa na kuwatupia lawama Marehemu! Leo kawageuka Polisi na kulaumu hawafanyi kazi sababu kauwawa Padre! Mkuki kwa Nguruwe mtamu kwa binaadamu mchungu!

EE Mwenye enzi Mungu, tunakuomba utunusuru na maadui wa ndani na nje!
 
Hivi ule ulinzi wa vitu visivyoonekana bado upo unaendelea kumlinda mkulu au vipi?
Viongozi wa dini shughulikieni hilo kwanza; huenda uongozi wa nchi utapona; uweze kuona na kuelewa kinachoendelea; na hatua mjarabu kuchukuliwa.
Vinginevyo; chumvi ikiharibika nayo itiwe nini ili iweze kufaa tena?
 
Police haven't failed. It's too early to accuse them of that.
Possibly the government in one way or another is involved in this scandals of priests killings,That its too silence on what is going on followings these innocent killing,If its too early at what police wiil ready investigations an arresstings all suspected people.
 
Mkuu unaonekakana shule imekupita pembeni,wewe ulitaka awapongeze wauwaji kwa kazi nzuri,Acha kundekeza udini jadili mada husika na siyo nani? kaleta mada.
 
sio kama polisi hawamjui muuwaji, wanamjua na sababu ya kifo wanaijua but wameamua kuficha ili kustiri mambo i.e funika kombe mwanaharamu apite, jamaa alikua d.r.u..g dealer, wamezinguana mchongo ukaenda ovyo wakamshut, izo ndo habari zilizo zagaa zenji mwezi sasa na FBI wameshaondoka zanzibar, mh wang C Pengo utachoka kusema, bora muachie Mungu kama vifo vyengine alivoachiwa Mungu.. wakatabuhu
 
Wewe inaonekana in kiraza wa viraza na kama umeenda shule inakubidi urudi shuleni tena chekechea,Pengo kakosea wapi? Pengo kama kiongozi wa kanisa ana wajibu kukemea maovu katika jamii likiwemo hilo la police kufuga ualifu,Au kwa sababu waislam ndiyo mmehusika kuwauwa wachungaji na mapadri ili mpate jehenamu sory pepo ya shetani sorry Allah,ndiyo maana inakuwa nongwa Pengo KUSEMA,Mpuuzi mkubwa.Ni upuuzi na hatari kwa kuichia akiri ndogo ya waisla kutawala akili kubwa.
 
Mkuu wauwaji wa viongozi wa dini ni waislamu na walisha hamasishana kupitia kwa sheikh Ilunga haina haja ya ya kuwatafuta.Police wadogo wanaogopa kuwafichua kwa sababu kilanja mkuu ndiyo hao hao.Sasa angalia mtu kama MUUWAJI Ilunga ana hamasisha waislam kuwauwa viongozi wa dini na bado anadunda mtaani huoni kuna tatizo kubwa tofauti na tunavyofikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…