Huku tunakokwenda hakufai. Nitatoa mfano.
Mie kama mtoto wa kiislam sitakiwi kula nguruwe, dini inasema ni haramu. Kuacha kwangu kula nguruwe sio kwa sababu niko allergic nayo, au ninaumwa. The decision is completely based on on faith kwamba nikila kiti moto ninapata dhambi. I stopped reasoning about manufaa ya kiti moto like bei yake rahisi kuliko mbuzi, au ng'ombe, pia kiti moto kina protein za kutosha. Hizo zote faida za kiti moto sizifikirii kwa sababu naogopa Jehanamu. Essentially my faith has hijacked my own reasoning power.
My point is, hawa viongozi wa dini wakianza kuongelea siasa--they are subliminally imposing faith mandate for their waumini to follow what they are preaching, in this time sio Yohana mtakatifu tena bali ni siasa. Wakatoliki are soon going to give up their reasoning power and vote for whoever Kardinali Pengo is endorsing between those lines. Not because they want to, but because Pengo said that is what GOD and Jesus wants to. That is what Waraka is intentionally supposed to be interpreted na waumini.
It is a very dangerous trajectory for our country because once the debate is shifted to udini, the risks for conflict will increase and we are already masikini--the last thing we want is people to be voting in 2010 because of dini au ukabila. Unfortunately when shit hit the fan kardinali Pengo anakwenda zake Vatican kutulia na kutuachia msala nchini kwetu.
Ya Kaisari muachie Kaisari Kardinali Pengo, huko unakotupeleka hatutaki.
all in all...mie nafurahia hili vuguvugu la NYARAKA na MIONGOZO....natamani sana UDINI uote mizizi kisha TUPIGANE VITA vya udini au hata usiasa na ukabila ...KISHA MAENDELEO YA KWELI YAJE NCHINI MWETU KWA WATAKAOBAKI...kuliko kuendelea kuchekacheka na wapuuzi wachache wananufaika na rasilimali zetu.
NDIOOOO....kwani ni nchi gani iliyoendelea duniani ukianzia hiyo USA ambayo haikuwaua/kuuana/ kumwaga damu NDIPO IKAPATA MAENDELEO YA KWELI?
WATANZANIA acheni uoga wa kitoto...RWANDA NA BURUNDI WALITIANA ADABU NA WAMEANZA KUENDELEA KWA KASI...sie tunajivunia uhuru/amani na upendo ambavyo ki-halisia ni NIDHAMU YA WOGA NA KUOGOPANA...matokeo yake wapuuzi wachache aka MAFISADI wanatufanya watz wote wapumbafu na wapuuzi.
NO WAR...NO REAL PC N HARMONY..NO CIVILISATION/MAENDELEO YA KWELI at all.
nb:- ni maoni yangu na nasikitika kuwaambieni UKWELI na UKWELI TUPU watanzania wenzangu...EHEE MWENYEZI MUNGU NISAIDIE.
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Watu wapige kura sio kwa sababu ya imani zao za kidini bali kwa matakwa yao ya duniani.
Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.
- Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
- Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
- Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
- Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
- Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Makanisa na Misikiti inakemea maovu (dhambi) Kwa kuwa ufisadi ni dhambi na imeandikwa kwenye vitabu vitakatifu ni dhahiri Makanisa na Misikiti wanaowajibu wa kukemea Ufisadi(Dhambi) hapo hakuna cha separation other wise haina maana ya kuwa na makanisa na misikiti
Mkuu ni kweli kuna separation ya politics na religious matters. Sina hakika kama maana yako ya Church and State, ina maana Mosque yenyewe haiwi separated na state matters, which in many cases it may seems so.
Lakini where do you draw that line. Mambo ya dini yanaishia wapi na ya siasa yanaingia wapi, ukiangalia kwa undani utaona kuwa ni mstari ambao umechorwa hewani tu. Sioni ubaya kwa kiongozi wa msikiti au kanisa kusema hatutaki viongozi wabovu, mtu akiwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa, diwani, mbunge,waziri au rais anaongoza watu wote bila kujali yeye ni mwanadini au la. Kwa hiyo kama uongozi wake haufai unamwathiri moja kwa moja hata mtu wa dini. Kama serikali inalinda na kupalilia maovu, misikiti na makanisa yatakuwa yanafanya kazi bure, yaani kufinidhs amorals wengine wanafanya tofauti. Wakati wao misikitini na makanisani wanapreach honesty, itakuwa ni upuuzi kama watachekelea ufisadi.
Makamba most of the time amekuwa akiquote Qoran na Biblia anapokuwa kwenye kazi za siasa. Alipokuwa RC hata alikuwa anakwenda misikitini kama RC, kumbuka mwembechai au pale kwa mtoro wakati wanachapana bakora ndani. Mbona yeye hakuwahi kukosolewa kuwa anachanganya siasa na dini?
Are we being hypocritical, or is our system hypocritical? Why should politicians mix politics and religion and why shouldn't clergymen mix religion and politics. Inawezekana Pengo hajui kama dini na siasa haviwezi kuchanganywa?
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Sasa nani aliyoiozesha hii nchi kama si kanisa?. kwani kanisa ndio linalotawala tanzania kwa nyuma ya pazia
Nakuunga mguu kwani Pengo kashindwa kuendesha ibada kama ulivyosema,kwa taarifa nyepesi nilizonazo sasa anajiandaa kugombea ubunge mwaka 2010,mambo hayo!Ni kweli nchi imeoza kiasi cha akinapengo kushindwa kuendesha ibada na kuingia katika ulingo wa kisiasa.mafisadi wamekuwa mbele wakidai kupambana na ufisadi ambao kimsingi hawaonekani wanaopambana nao.Inawezekana wanapambana na vivuli vyao.kwani kila tukiwauliza tajeni mafisani wananyamaza.ama kweli nchi imeoza
Nakuunga mguu kwani Pengo kashindwa kuendesha ibada kama ulivyosema,kwa taarifa nyepesi nilizonazo sasa anajiandaa kugombea ubunge mwaka 2010,mambo hayo!
muadhama cardinal polycarp pengo ... Tuna separation of church and state ... Remember?
Kwa akili yako mtu ambaye amechaguliwa na waishio nje ya Tanzania atawezaje kufundisha demokrasia hapa Tz?Hao mapengo,ooh samahani namaanisha maaskofu,makadinali wa raia wa roma(roman catholic) wote wanachaguliwa/kuteuliwa na papa ambaye haijui vyema Tz,kwahiyo utaona hilo kanisa lenyewe halina demokrasia waumini wake wanaletewa mamluki tuu toka Roma bila ridhaa yao leo eti hao mamluki waje kufundisha demokrasia hapa bongo watawezaje wakati huko kanisani hakuna demokrasi?Acheni kushabikia mambo ya kijinga kwani hao mamluki sorry naamanisha maaskofu na makadinali raia wa roma(roman catholic) wanatetea unga wao tuu na si kuwatetea watz kama kweli wanataka demokrasi basi wajivue huo ulaji na waanze sasa kuchaguana hapa Tz!Kulingana na gazeti la Majira la leo ASKOFU wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo ameibuka tena na kutangaza mapambano mapya dhidi ya mafisadi huku akidai nchi imeoza na kamwe kanisa halitakaa kimya na kulea hali hiyo.
- Asema kamwe kanisa halitakubali kunyamaza.
- Asema watapambana na ufisadi hadi mwisho.
- Aapa kupambana na yeyote anayetetea uovu.
- Asema Katoliki haliandai mgombea Urais mwaka 2010.
- Adai anayeogopa waraka wa Kanisa ni Fisadi.
Muadhama Cardinal Polycarp Pengo ... tuna separation of church and state ... remember?
Kwa akili yako mtu ambaye amechaguliwa na waishio nje ya Tanzania atawezaje kufundisha demokrasia hapa Tz?Hao mapengo,ooh samahani namaanisha maaskofu,makadinali wa raia wa roma(roman catholic) wote wanachaguliwa/kuteuliwa na papa ambaye haijui vyema Tz,kwahiyo utaona hilo kanisa lenyewe halina demokrasia waumini wake wanaletewa mamluki tuu toka Roma bila ridhaa yao leo eti hao mamluki waje kufundisha demokrasia hapa bongo watawezaje wakati huko kanisani hakuna demokrasi?Acheni kushabikia mambo ya kijinga kwani hao mamluki sorry naamanisha maaskofu na makadinali raia wa roma(roman catholic) wanatetea unga wao tuu na si kuwatetea watz kama kweli wanataka demokrasi basi wajivue huo ulaji na waanze sasa kuchaguana hapa Tz!
Aibu,ningekuwa huko ningetoka mapema!Yaani watu wanaletewa watawala na watu walio nje ya nchi yao,maskini yaani Dogmaship imewatawala maskini.