Pengo: Nchi imeoza!

Mnafiki mkubwa sana jamaa yaani udini udini udini ...

Yaani mimi n mkatoliki pure kabisa ila hapana Kikwete watu walimwambia ukweli lakini Magufuli sijui wanamuogopa nini?.
Hutowasikia tena hao na kina slaa mpaka baada ya 2025, tutunze kumbukumbu tu. Alafu jamaa wanawaona watanzani bado ni wajinga sana. Ukitaka kuamini hilo fuatilia matamko ya kabudi huko nyuma alaf linganisha na huyu wa sasa HV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Arudi atoe maoni yake tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na nyie kutupandishia uzi wa 2009 nikuturudisha nyuma, naomba muache hizo tabia. Huu uzi ungeupandisha pale tu alipogoma kuukubali Waraka uliopita wa baraza la maaskofu, sasa unaupandisha leo kwenye issue ya CAG unawakilisha nini? Acheni kutupotosha kwenye mambo yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…