pengo lake halitozibika

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,244
3,249
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
67,472
130,788
Time will heal all the wound.
Msamehe tu, endelea kujichanganya na marafiki, tembelea maeneo mapya, iambie nafsi yako kuwa ilizaliwa ikiwa na furaha, na inaweza kuendelea kufurahi hata bila ya uwepo wa huyo mtu
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!
 
Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
148

Jaribu tu kukubaliana na uhalisia na umtoe huyo mtu ktk moyo wako kwa vile si wako tena,maisha ni lazima yaendelee kama kawa,kuwa mvumilivu na taratibu pasipo kukurupuka usianzishe mahusiano mengine kwa kukurukupa just kuziba pengo lake.Give yourself time,let go of her.Utapata mwingine atakayeziba hilo pengo vizuri tu,mbona wako wengi tu.!!!!!!!!!1
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
4,719
pole sana hao ndio manawake ndugu yangu i do wanda u guys kwanini umpe mtu moyo wako wote ????kwanini ulizaliwa nae?? to me it doesnt make sence namwogopa sana mtu wakukutana naye ukubwani
 
hakisoni

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
476
98
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!

Yataisha tu ndugu, sibiri upate wa kukurusha roho, utasahau huko nyuma, anyway is a matter of time, dont worry be happay. :israel:
 
Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,304
12,737
pole sana hao ndio manawake ndugu yangu i do wanda u guys kwanini umpe mtu moyo wako wote ????kwanini ulizaliwa nae?? to me it doesnt make sence namwogopa sana mtu wakukutana naye ukubwani
my dear, subiri upate atakayekudatisha ndo ujiulize kwa nini watu wanakabidhi mioyo yao kwa wapenzi........
mimi hii siishangai kabisaaaaaaaaaaaa, sababu ili nifurahie mapenzi naamini kwenye kujikabidhisha kwa mwenzangu mwili na moyo.....
akinitenda, time is always the best solution......with time nitapona tu.
siamini kwenye kupenda nusu nusu, naona sijitendei haki ya kufurahia mapenzi
 
Bitabo

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,903
685
Pole kaka namini hayo maumivu yatakwisha bt usihangsike tulia ukimpata anayekupendeza machoni na moyoni mpende kisawasawa bsi utakua kama wewe uliyezaliwa ili ugurahie maisha amini ni wewe mwenyewe tu waweza kujitengenezea furaha kwanza umeshauriwa mengi yafate bro.
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,458
4,719
my dear, subiri upate atakayekudatisha ndo ujiulize kwa nini watu wanakabidhi mioyo yao kwa wapenzi........
Mimi hii siishangai kabisaaaaaaaaaaaa, sababu ili nifurahie mapenzi naamini kwenye kujikabidhisha kwa mwenzangu mwili na moyo.....
Akinitenda, time is always the best solution......with time nitapona tu.
Siamini kwenye kupenda nusu nusu, naona sijitendei haki ya kufurahia mapenzi
dadad FP bwaga moyo wako wote safisana natumia akili sana kuliko moyo wangu mie so naishi kwa maarifa sana kwenye hii dunia moyo wangu una nafasi ndogo sana katika kucontrol maisha yangu aisee .siwezi ukabidhi wote kama gunia la sukari niuzwe kwa kilo kusubiri kuisha nitaipataje furaha wakati wakilio changu
 
Last edited by a moderator:

Fixed Point

JF-Expert Member
Sep 30, 2009
11,304
12,737
dadad FP bwaga moyo wako wote safisana natumia akili sana kuliko moyo wangu mie so naishi kwa maarifa sana kwenye hii dunia moyo wangu una nafasi ndogo sana katika kucontrol maisha yangu aisee .siwezi ukabidhi wote kama gunia la sukari niuzwe kwa kilo kusubiri kuisha nitaipataje furaha wakati wakilio changu
ndo maana nimesema hivi mdogo wangu nivea, bado hujampata.......
kila mtu kapita huko kwenye kutumia akili badala ya moyo........ mara nyingi kama mtu smart unapoamua kuingia kwenye mapenzi unaanza kutumia akili, kadiri siku zinavyoenda na mnavyozidi kudatishana feelings zinahama kutoka kutumia akili mpaka kutumia moyo........
nakuelewa kama unasema unakuwa na mtu, kabla hajakuingia kisawasawa tayari mmeshaachana........
lakini kama unakaa na mtu kwenye mapenzi kwa muda mrefu.......mnapeana kila kitu......bado unatumia akili? basi mdogo wangu hufaidi ladha ya mapenzi.....
Onyo: usimkabidhi moyo mpita njia.................
 
Last edited by a moderator:

HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,612
2,558
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!

Pole mkuu, kudate na wasichana wengine si solution ya tatizo lako, unaweza kuambulia magonjwa na mambo mengine mabaya zaidi. Solution ni wewe kuikubali hiyo hali ya kwamba umepigwa chini na kuconcentrate na mambo mengine ya kimaendeleo. Maisha bado yapo, na utampata atakayekupenda kwa moyo wote.
 
prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
pole sana jaribu kujichanganyakwamarafiki wapya na kujiweka bize na mambo yako binafsi naimani cku moja utampta atakae kupenda zaidi na utajiulizwa y nilichelewa kukupata wewe barafu wa moyo wangu mapema hadi kuwekewa gunia la misumari kichwana kila kitu kinaitaji imani amini utapata
 
Kibua

JF-Expert Member
Jan 3, 2012
416
978
matatizo ya mapenzi huwa soo common na solution zake pia.
wapo wengi wenye tatizo kama lako anyway pole sana.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,514
ila kiukweli na ujanja huu wa nazi macho matatu lakini haioni, sikujua wanaume wanakamatikaga na kuwa wadogo hivi! hivi nikimuacha Paw atajuta? Au nitakuwa nimepiga ngumi ukuta? Sijui nawazaje leo, ngoja....
 
Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,011
808
Shukuru Mungu mmetengana kwana anaonekana ni MALAYA hivyo angekusumbua sana mngeishi wote. Usimwambie lakini mimi nimekwambia yeye ni MALAYA
 
jouneGwalu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,687
1,750
ndo maana nimesema hivi mdogo wangu nivea, bado hujampata.......
kila mtu kapita huko kwenye kutumia akili badala ya moyo........ mara nyingi kama mtu smart unapoamua kuingia kwenye mapenzi unaanza kutumia akili, kadiri siku zinavyoenda na mnavyozidi kudatishana feelings zinahama kutoka kutumia akili mpaka kutumia moyo........
nakuelewa kama unasema unakuwa na mtu, kabla hajakuingia kisawasawa tayari mmeshaachana........
lakini kama unakaa na mtu kwenye mapenzi kwa muda mrefu.......mnapeana kila kitu......bado unatumia akili? basi mdogo wangu hufaidi ladha ya mapenzi.....
Onyo: usimkabidhi moyo mpita njia.................

Dah mtu wangu FP umezungumza kiutaalamu na uzoefu tena wa kiutu uzima, kwa kifupi umeni -move.
Kwa kufuatilia maongezi yako na nivea na hii sred inaonekana bidada nivea ni mhanga au bado ana majeraha.
Wengi tukitoka kwenye maumivu huwa tunakuja na imani nyingi ila labda tuwe tunazungumzia kitu kingine, ila kwenye mapenzi.... Hamna kupenda nusunusu, kama unajiona upo hvyo kwenye mahusiano yako basi isubiri ajali kamili!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom