pengo lake halitozibika

Pole sana kwa maumivu ya mapenzi, ninamuonea huruma sana huyo mwanamke mwingine utakaekuja kuishi nae, atatumia nguvu kubwa sana kukuweka sawa na kukufanya umpende .
 
my dear, subiri upate atakayekudatisha ndo ujiulize kwa nini watu wanakabidhi mioyo yao kwa wapenzi........
mimi hii siishangai kabisaaaaaaaaaaaa, sababu ili nifurahie mapenzi naamini kwenye kujikabidhisha kwa mwenzangu mwili na moyo.....
akinitenda, time is always the best solution......with time nitapona tu.
siamini kwenye kupenda nusu nusu, naona sijitendei haki ya kufurahia mapenzi
dada mkubwa kupenda ni kipaji ujue!WACHACHE SANA WANA HIYO BAHATI!
tujibwilie tu poouwder yetu!
UTEJA OYEEEEEE!kwa raha zetu!lol
TUMETUMBUKIZA MIGUU,MIKONO,KIUNO,KICHWA,NYWELE,KANDAMBILI,UGALI,MAJANI YA NG'OMBE,ASALI,SARAFU ah mradi tu kila kitu!
 
dada mkubwa kupenda ni kipaji ujue!WACHACHE SANA WANA HIYO BAHATI!
tujibwilie tu poouwder yetu!
UTEJA OYEEEEEE!kwa raha zetu!lol
TUMETUMBUKIZA MIGUU,MIKONO,KIUNO,KICHWA,NYWELE,KANDAMBILI,UGALI,MAJANI YA NG'OMBE,ASALI,SARAFU ah mradi tu kila kitu!
mlongo wangu umesahau kiungo muhimu katika mapenzi MOYO, lol!
kwa nini nipende nusu nusu? ntafaidi vipi sasa?
 
Dah mtu wangu FP umezungumza kiutaalamu na uzoefu tena wa kiutu uzima, kwa kifupi umeni -move.
Kwa kufuatilia maongezi yako na nivea na hii sred inaonekana bidada nivea ni mhanga au bado ana majeraha.
Wengi tukitoka kwenye maumivu huwa tunakuja na imani nyingi ila labda tuwe tunazungumzia kitu kingine, ila kwenye mapenzi.... Hamna kupenda nusunusu, kama unajiona upo hvyo kwenye mahusiano yako basi isubiri ajali kamili!
hiyo ni mbaya sana katika mahusiano, ndo maana mimi nasema mara nyingi ni vizuri na muhimu sana kuwa na break toka relationship moja kwenda nyingine..... usihame toka kwa huyu kwenda kwa mwingine, ni mbaya sana...... mwisho wa siku wewe ndo unakuwa muhanga.....
kuna dada mmoja nilikuwa karibu naye kiasi, alijikuta ndani ya miezi 6 amesha-break up na wakaka 5....... siku nikamkalisha nikamwambia umefika wakati wa wewe kukaa pembeni na kuusoma huu mchezo wa mapenzi unaendaje maana kila siku unafungwa tu....... akaona namzingua, akaamua ku-date on my back, haniambii, lakini mimi napata tu stori za jinsi anavyoendelea kuhama vijiwe..... na mimi nikajiambia nilishamwambia, kaona asinishirikishe sasa nakaa kimya.....
baadae akajitambua akaamua kuacha, sasa ana mwaka hana mtu na naona furaha yake imeanza kurudi...... nasubiri akishapona kabisa nitaleta tenda hapa JF, lol!
 
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!


You should be happy umeambiwa mapema kuna wenzio wanadhani bado wako na watu wao kumbe sivyo. Sometimes nashangaa sana watu wanaoenda kusoma nje. Nimeshuhudia wasichana full kujiachia mpaka nashangaa kwani that big percentage yao wanaokuja huku are always single!
 
Jiambie hivi NA HILI NALO LITAPITA!! Umepita mangap toka uzaliwe yaliyokuwa magumu? Be happy life is too short.
 
dadad FP bwaga moyo wako wote safisana natumia akili sana kuliko moyo wangu mie so naishi kwa maarifa sana kwenye hii dunia moyo wangu una nafasi ndogo sana katika kucontrol maisha yangu aisee .siwezi ukabidhi wote kama gunia la sukari niuzwe kwa kilo kusubiri kuisha nitaipataje furaha wakati wakilio changu
nafikiri nivea unahitaji kukutana na mtu kama mim then tuone kama utaendelea kua na mtazamo kama huo zingatia hayo nlioweka kwenye rangi nyekundu naanza na PM then mengine yatafuta...
 
vijana mkiambiwa muwe na demu zaidi ya mmoja mwaona oh eti uhuni...wewe hawa magoma wamewekwa ili tuwagegede. sasa mwana wewe hakikisha next time unakuwa na demu zaidi ya mmoja that way hutaweka hisia zako zote kwake tuu
kwa sasa ili u get over her mwana itabidi uwagegede wengi sana mpaka umpate yule ambaye atakufanya umsahau....BUR PLZ DO CONDOMIZE...SO PU**Y IS WORTH DYING FOR!!!!
 
Hilo lishatokea tia kapuni anza ukurasa mpya na yape mapenzi muda kabla hujaanza tena kuingia kwenye mahusiano.. Not all relationships are worth dying for..
 
mapenz yana nguvu kuliko ki2 chochote ndivyo ninavyoamini mpk sasa nilikuwa na mpenz wangu bt amesafiri kwenda nje ya nchi kusoma kabla hata hajaondoka we were nt in gud terms ni kwa sababu ya cheating za hapa na pale,nilitarajia uondokaji wake ungenifanya niwe free from her kistress na hata kuachana nae bt hali ni ngumu kwangu 2nawasiliana kimtndo,nimedate wasichana wengne niweze kumsahau lakini wap akili yangu yote ipo kwake,jana ndio kanitamkia live kwamba kapata m2 mwingne so there is nthng I can do,nipo ktk transition period ya kuweza kumsahau ktk memory yanguiliyojaa huzuni,wivu na hasira,
nahtaj ushauri wowote ambao utanifanya niweze kumsahau kwa urahisi!!!
Nani amesema halizibiki? wewe msamehe mwone wa kawaida piga chini chukua chombo kipya weka ndani
 
Many want real love
:
Very few know how to love
:
Those who are loved really,they are restless wanting to prove if the love they get is real
:
THE BEST THING WE CAN DO FOR THOSE WHO DESPISE OUR REAL LOVE IS TO DO NOTHING
 
Mi naona huu mwaka wanaume tunalo thread zinaonesha wanaume wanalalamika sana wanapigwa chini ile mbaya.
 
Pole sana mapenzi hayana icon ya undo kama kwenye computer ila muda uta clear tu majeraha uliyopata.
 
Bwana na wewe hebu acha kujililisha Pengo lake halitozibika kwani huyo demu kawa JK NYERERE? Nyerere mwenyewe watu wameshamsahau ndo maana kuna Ufisadi na ushenzi wa kila namna kwenye duru za uongoz kitaifa.
 
Pole sana

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom