Pengo aongoza ibada ya Pasaka kitaifa

Pengo aongoza ibada ya Pasaka kitaifa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,521
Cardinal Pengo leo ameongoza ibada ya pasaka iliyofanyika kitaifa katika kanisa la Mt Maurus kurasini Dsm.

Katika mahubiri yake amewataka wakristo wawe watu wa TOBA na KUJIRUDI kama alivyofanya Petro baada ya kumkana Yesu mara tatu.

Amesema Petro alifanya dhambi mbaya labda kuliko Yuda kwani yeye alimkana Yesu akiwa anakiendea kifo. Amesisitiza yeye ameshatubu na kuwasihi waumini kutoona Haya kutubu mbele ya KRISTO.

Haleluya!
 
sijakuelewa vizur unasema ameshatubu dhambi gani? ndo ile iliyomfanya atukanwe na Gwajima?
 
Amenena vyema mtumishi wa Mungu. PASAKA njema
 
wew kwel umenena kama kagundua ujinga aliofanya na kuamua kutubu kwa Mung wake hapo sawa ila ingekuwa vyema sana kama angeweza kuwaeleza wananch wote kwa ujumla kuwa kweli alikosea ili tuendelee kumpa heshima yake
 
Pengo yupi! Yule ambaye hajielewi kama mtoto mdogo aliyevaa pampers! Au yule ambaye akila maharage yake fulani hivi anabwabwaja hovyo hovyo! Au ndo yule alikubaliana na wenzake kupinga katiba haramu ya maccm halafu baadaye alipolewa akawageuka wenzake na kuwasaliti kwa kutoa maelekezo tofauti kwa waumini!
Kwa hiyo Ametubu hiyo dhambi ya usaliti!
 
Ametubu kitugan - Huyu Pengo ni yuda escariote amewasariti raia wa Taifa la Tanzania kwa kuungana na mafisadi akitetea matendo maovu ya mafisadi-ccm na viongozi wake.
Mnatumia vibaya mitandao ya jamii kwa kutukana watu na hilo siyo lengo lililokusudiwa kwa uanzishaji wa mitandao hiyo.ndiyo maana serikali imepitisha miswada kwa hati ya dharura ili kuwabana mnaotumia mitandao kwa nia ya kuchafua watumishi wa Mungu na watu wengine
 
Cardinal Pengo leo ameongoza ibada ya pasaka iliyofanyika kitaifa katika kanisa la Mt Maurus kurasini Dsm.

Katika mahubiri yake amewataka wakristo wawe watu wa TOBA na KUJIRUDI kama alivyofanya Petro baada ya kumkana Yesu mara tatu.

Amesema Petro alifanya dhambi mbaya labda kuliko Yuda kwani yeye alimkana Yesu akiwa anakiendea kifo. Amesisitiza yeye ameshatubu na kuwasihi waumini kutoona Haya kutubu mbele ya KRISTO.

Haleluya!

Mkuu,kwa makamo haya bado unayaamini majitu yanayojiita majitu ya Mungu??

God forbid....
 
Mnatumia vibaya mitandao ya jamii kwa kutukana watu na hilo siyo lengo lililokusudiwa kwa uanzishaji wa mitandao hiyo.ndiyo maana serikali imepitisha miswada kwa hati ya dharura ili kuwabana mnaotumia mitandao kwa nia ya kuchafua watumishi wa Mungu na watu wengine

Mkuu Katitu,acha woga....Pengo alijishusha hadhi mwenyewe...kwa hali ya usaliti namna ile hafai kupata heshima tuliyokua tunampa before...

Heshima hailazimishwi dude,it is earned....huyu anayejiita mtu wa Mungu,(I wonder huyo mungu ni wake peke yake)....I really don respect majitu yenye tabia kama alizoonesha Pengo....na infact approving rate yake kwenye society imepungua kiasi flani

Hii michungaji na mipadre ni mijitu yenye dhambi kama sisi or even worse...msitutishe bwana
 
huu utaratibu wa kusema kuna ibada ya kitaifa ulianza lini tena ndani ya kanisa maana hapo naona tbc walikuwa live sasa kuwa live tbc ndo kunaifanya ibada kuwa ya kitaifa?
 
Mnatumia vibaya mitandao ya jamii kwa kutukana watu na hilo siyo lengo lililokusudiwa kwa uanzishaji wa mitandao hiyo.ndiyo maana serikali imepitisha miswada kwa hati ya dharura ili kuwabana mnaotumia mitandao kwa nia ya kuchafua watumishi wa Mungu na watu wengine

Bahati mbaya mim sio zezeta.

1. Tuambie kwanin aliwakemea wenzake na kwa ukali kwelikweli kuhusu hapana kwa katiba feki na isiyo na ridhaa ya watanzania wote?

2. Je makosa yapo kwa wanaohamasisha hapana tu... mbona hatukumsikia akiwakemea japo kwa upole wapiga debe wa ndiyo akiwamo kikwete, Bulembo na makada kadhaa wa ccm

3. Je wew na Pengo mnataka kutuambia tupigie ndiyo katiba ilonajisiwa na akina Sita na Chenge kwa maslahi ya mafisadi.

Nyinyi ndiyo wanafiki mnaofanya maamuzi kwa kutazama upande mmoja nakufumbia macho uoza na matapishi ya upande mwingine.
 
Sikuu gani bana hii...kila mwaka ni miaka 2000 iliyo pita....inamaana miaka imeganda.
 
Cardinal Pengo leo ameongoza ibada ya pasaka iliyofanyika kitaifa katika kanisa la Mt Maurus kurasini Dsm.

Katika mahubiri yake amewataka wakristo wawe watu wa TOBA na KUJIRUDI kama alivyofanya Petro baada ya kumkana Yesu mara tatu.

Amesema Petro alifanya dhambi mbaya labda kuliko Yuda kwani yeye alimkana Yesu akiwa anakiendea kifo. Amesisitiza yeye ameshatubu na kuwasihi waumini kutoona Haya kutubu mbele ya KRISTO.

Haleluya!

ujumbe muhimu na safi kwa taifa letu kwa sasa mungu akubariki baba askofu.there is no life without forgiveness
 
Zamani Jamii iliaminishwa kwamba Dunia ni sayari iliyopekee katikati lakini Galileyo pekee alikataa uvumi huo na leo amejipatia umaarufu mkubwa tofauti na mawazo ya walio wengi.Simama siku zote ktk maamuzi yako.Acha watu wakushauri lakini wasiingilie uhuru wa maamuzi yako.
 
Back
Top Bottom