Pengine ukame,njaa inaletwa na dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Pengine ukame,njaa ni matokeo ya dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar,kunyanyaswa kwa wapinzani?sheria mabovu zinazotugwa kuhusu kuminwa kwa vyombo vya habari?mshahara wa dhambi ni mauti, dhambi unalipwa hapa hapa duniani
Bila kurudisha haki ya wanzazibar mtalia na kusaga meno
 
Hahaahaaahaaa....una haki ya kutoa mawazo yako kikatiba .... Ila usimpinge yule k m a
 
Hata tetemeko ni dhuluma waliyo fanyiwa Zanzibar, pia albadiri zinafanya Kazi wengine wameparalaizi. Bado hatunaona mambo, hadi kufikia 2020 si ajabu pakawepo na tsunami
 
Wewe hutaki kusikia? Raisi wa nchi, mkuu wa dola hili kasema kuwa hakuna njaa wala ukame. Wanaosema hivyo wamenunuliwa na wafanya biashara. lendila, kama umenunuliwa basi naomba unikatie na mimi kidogo nipunguze hii hali ya ukata!!!!
 
Kama ni laana ingewapata wale wazee waliokuwa wanasoma matokeo......znz na bara.......hii ya wote kuwa punished inabidi tuombe kwa juhudi hichi kikombe kituepuke.
 
Pengine ukame,njaa ni matokeo ya dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar,kunyanyaswa kwa wapinzani?sheria mabovu zinazotugwa kuhusu kuminwa kwa vyombo vya habari?mshahara wa dhambi ni mauti, dhambi unalipwa hapa hapa duniani
Bila kurudisha haki ya wanzazibar mtalia na kusaga meno

Na ukame wa Kenya, Msumbiji, Bangladesh, India na kwingineko unaletwa na uchaguzi wa Zanzibar?
 
Kwani kuna njaa gani ?

Mwenye mamlaka makuu ya njaa za watanzania amesema hakuna njaa !
 
Pengine ukame,njaa ni matokeo ya dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar,kunyanyaswa kwa wapinzani?sheria mabovu zinazotugwa kuhusu kuminwa kwa vyombo vya habari?mshahara wa dhambi ni mauti, dhambi unalipwa hapa hapa duniani
Bila kurudisha haki ya wanzazibar mtalia na kusaga meno
Kwani ndo mara ya kwanza sehemu kadhaa za nchi hazipati mvua ya kutosha??
 
Pengine ukame,njaa ni matokeo ya dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar,kunyanyaswa kwa wapinzani?sheria mabovu zinazotugwa kuhusu kuminwa kwa vyombo vya habari?mshahara wa dhambi ni mauti, dhambi unalipwa hapa hapa duniani
Bila kurudisha haki ya wanzazibar mtalia na kusaga meno

Sasa . mbona bukoba. Hujagusa,ukimwi,tetemeko,katerero,ngono .
 
Pengine ukame,njaa ni matokeo ya dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar,kunyanyaswa kwa wapinzani?sheria mabovu zinazotugwa kuhusu kuminwa kwa vyombo vya habari?mshahara wa dhambi ni mauti, dhambi unalipwa hapa hapa duniani
Bila kurudisha haki ya wanzazibar mtalia na kusaga meno
Mawazo ya kijinga sana haya!!
 
Pengine ukame,njaa ni matokeo ya dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar,kunyanyaswa kwa wapinzani?sheria mabovu zinazotugwa kuhusu kuminwa kwa vyombo vya habari?mshahara wa dhambi ni mauti, dhambi unalipwa hapa hapa duniani
Bila kurudisha haki ya wanzazibar mtalia na kusaga meno
Duuu mawazi yako yana tofautiana kidogo na ya Kwangu ila mimi Ninanochokiona ni kweli pengine inasababishwa na zanzibar kupitia Seif Sharif Hamad kufanya jusaaa liwatwi na kucheza sunsumia na Waarab wake kule chukwani yule Waziri wa Utamadumi wa Omali na kufanya vitendo Mungu alivyo vikataza .... Yaani ningekuwa Zanzibar Seif ningemtaka Asttahafiru tena dunia ishampa mgongo aitafute ahera yake
 
Huyo atakuwa mungu wa siasa mwenye kuleta hayo majanga kisa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom