Pengine Penguins hawa ndio viumbe dhaifu zaidi duniani

Pengine Penguins hawa ndio viumbe dhaifu zaidi duniani

mi nilishaona wanapigana wanatumia midomo zaidi na mbawa lkn pia wanakucha wanadabia samaki,huyo mnyama ni mkorofi ukimkorofisha atasema nawewe kupita huo mdomo wake...😂
 
Kuna tajiri mmoja wa kikinga ana mabasi yake yanaitwa Super Feo amewachora hao ndege kwenye kila basi sijui nia ni nini!
 
Kama wamepewa kipaji cha kuogelea ni jambo jema sana maana nawaonea huruma sana hawa ndege
Hii inashangangaza

Umewezaje kuwachinguza Penguin na umeshindwa kuijua sifa yap kubwa ya kuogolea. Yaani sawa na umchunguze Wild dog na usindwe kujua kuwa wanawinda in pack.

Vipi huyu na penguin
images.jpeg
 
Hawa viumbe wanaitwa Penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.

Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa jambo linalowafanya wawe dhaifu sana. Hivi hakuna wanyama wanaowatumia kama kitoweo? Na kama wanatumiwa kama kitoweo je, wanatumia mechanism gani kujihami?

Nimetafakari sana ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu lilikuwa nini kuumba viumbe dhaifu kama hawa ambao as per my perception I'm convinced to say that these might be the weakest creatures in the universe.
View attachment 3020231View attachment 3020233
Dhaifu hawezi kupewa Ubrigedia wa Jeshi
 
Attachments

  • Penguin_Sir_Nils_Olav_Promoted_to_Brigadier(144p).mp4
    1.1 MB
  • Sir_Nils_Olav_promoted_to_Brigadier_by_Norwegian_King_s_Guard(144p).mp4
    5.2 MB
Wapambamaji hao mkuu unaweza ukapewa kazi ya kuwakata ukashindwa.

Alafu hapo kwenye "bird or animal"...hata birds ni animal kama ilivyo kwa Simba etc
 
Mechanism yao kuu ni kuishi sehemu zenye baridi na usisahau pia wanaweza kuogelea
Hawa viumbe wanaitwa Penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.

Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa jambo linalowafanya wawe dhaifu sana. Hivi hakuna wanyama wanaowatumia kama kitoweo? Na kama wanatumiwa kama kitoweo je, wanatumia mechanism gani kujihami?

Nimetafakari sana ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu lilikuwa nini kuumba viumbe dhaifu kama hawa ambao as per my perception I'm convinced to say that these might be the weakest creatures in the universe.
View attachment 3020231View attachment 3020233
M yao
 
Huyu mwamba usimuone hvi akiwa ardhini
...mfuatilie akiwa anapiga mbizi bahraini kwenye mawindo yake ndo utarudi na kufuta andiko lako mkuu
 
Back
Top Bottom