Pengine Penguins hawa ndio viumbe dhaifu zaidi duniani

Trubetzkoy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
372
Reaction score
730
Hawa viumbe wanaitwa Penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.

Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa jambo linalowafanya wawe dhaifu sana. Hivi hakuna wanyama wanaowatumia kama kitoweo? Na kama wanatumiwa kama kitoweo je, wanatumia mechanism gani kujihami?

Nimetafakari sana ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu lilikuwa nini kuumba viumbe dhaifu kama hawa ambao as per my perception I'm convinced to say that these might be the weakest creatures in the universe.
Screenshot_20240609-213915.jpg
Screenshot_20240609-213822.jpg
 
Hawa viumbe wanaitwa penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.

Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa jambo linalowafanya wawe dhaifu sana. Hivi hakuna wanyama wanaowatumia kama kitoweo? Na kama wanatumiwa kama kitoweo je, wanatumia mechanism gani kujihami?

Nimetafakari sana ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu lilikuwa nini kuumba viumbe dhaifu kama hawa ambao as per my perception I'm convinced to say that these might be the weakest creatures in the universe. View attachment 3020231View attachment 3020233
Ngoja wake wataalamu wa baharini hapo.
 
Kitu dhaifu kinaweza kuwa kisafi na chenye sia (afya) nzuri namna hiyo? Alafu ogopa wanyama wanaopatikana Ulaya na Marekani! Kama walivyo wazungu mambosifi na hawa wanyama wanakoishi kabwela huwezifika
Chifu hawa viumbe umefuatilia life style yao? Kiumbe asiyeweza kupaa wala kukimbia na anaishi aridhini siyo dhaifu huyo?
 
Tafuta mnyama anaitwa sloth, huyu Ndio dhaifu, haoni na muda wote amelala and very slow..

But anyway kila kiumbe hai unachokiona kime evolve kuwa na nguvu/uwezo wa peke kwenye mazingira yake ambayo kiumbe mwingine hawezi.

Mfano huyo penguin yeye anauwezo mkubwa sana wa kuishi kwenye baridi bila msaada wa vifaa maalumu ila binadamu hatuwezi.
 
Ni wadhaifu? Dunia hii kuna kiumbe mdhaifu? Labda mgonjwa, hao penguin watakuwa wana ubabe fulani hivi kujilinda na maadui zao
 
Napenda sana kujifunza mkuu ,nashukuru mno, japo leo nimejifunza pia fisi ndio mnyama anaepata uchungu wa kujifungua kuliko kiumbe yeyote yule .

Sijui inakuaje apo kwa Mungu wa Israel kuhusu adhabu ya kuzaa kwa uchungu kwa binadamu?🤔
 
Hawa viumbe wanaitwa penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.

Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa jambo linalowafanya wawe dhaifu sana. Hivi hakuna wanyama wanaowatumia kama kitoweo? Na kama wanatumiwa kama kitoweo je, wanatumia mechanism gani kujihami?

Nimetafakari sana ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu lilikuwa nini kuumba viumbe dhaifu kama hawa ambao as per my perception I'm convinced to say that these might be the weakest creatures in the universe. View attachment 3020231View attachment 3020233
Hao hukaa Hadi kwenye barafu na wana survive
 
Mwanamke ni kiumbe dhaifu Sana yaani eti chatu wa kumdanganya ale tunda kweli jamaniii.... 😃😃😃😃😃😃😃
Unajua neno "dhaifu" labda lina maana pana! Mwanamke ukimlinganisha na mwanamme kwa vipimo vya Mungu jinsi alivyomuumba alimwita "dhaifu". Lakini sisi wanaume, tunaona mwanamke ndo kiumbe kinachotuangaisha na kututesa maisha yetu yoote usipokuwa na akili
 
Hawa viumbe wanaitwa penguins, mwanzo nilipata ugumu kufahamu kama hawa ni birds or animals ila baadae nikajiridhisha pasi na shaka kuwa hawa ni ndege maana wana mabawa japo sina hakika kama wanayatumia hayo mabawa kwenye harakati zao za maisha.

Hawa viumbe hawana uwezo wa kukimbia wala kupaa jambo linalowafanya wawe dhaifu sana. Hivi hakuna wanyama wanaowatumia kama kitoweo? Na kama wanatumiwa kama kitoweo je, wanatumia mechanism gani kujihami?

Nimetafakari sana ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu lilikuwa nini kuumba viumbe dhaifu kama hawa ambao as per my perception I'm convinced to say that these might be the weakest creatures in the universe. View attachment 3020231View attachment 3020233
Kuna baadhi ya viumbe nao wanatafakari ukuu wa Mungu na kuwaza kusudi la Mungu ilikuwa nini kumuumba Kiumbe mtu maana ndio kiumbe anaeoongoza kwa kutumia akili na rasilimali zote kuunda silaha na sumu za kuangamiza kiumbe wenzake.
 
Unajua neno "dhaifu" labda lina maana pana! Mwanamke ukimlinganisha na mwanamme kwa vipimo vya Mungu jinsi alivyomuumba alimwita "dhaifu". Lakini sisi wanaume, tunaona mwanamke ndo kiumbe kinachotuangaisha na kututesa maisha yetu yoote usipokuwa na akili
😃😃😃😃😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom