Hapa Dar unapatikana wapi?Faida,
Nyumba hupendeza
kuonekana nadhifu mda wote
Rahisi kusafishika
Hakuna scratches
No bacterial
0757 066208
View attachment 1715908View attachment 1715909View attachment 1715910View attachment 1715911View attachment 1715912View attachment 1715913
Hapo nligusia kwa case ya ndani ila nje kuna aina zake za floor hiyo 3D haifai kabisa jua lazima liathiri kwa kiasi chake.Kwa sakafu ya nnje,ambayo inapgwa na Jua Mchana wote huo mng'ao utadumu milele?
Watu wakiwa wanakatiza katiza haichubuki na kupoteza mvuto "mng'ao" kupotea kbsa au kufifika?
Nmeipenda sana nataman iweka kwenye 1 ya ofisi zangu kwa nnje pale,sema hilo nyomi la wateja
nahisi kama huo mng'ao utakaa wiki TU na kupotea ,niondoe wasi wasi wangu mkuu nijue najilipuaje...
tu subiri ntakuonyesha sample za floor za nje tushauriane vijana waingie kazini.nasubiri Sample za Floor za OUTDOOR jua lake,Mvua Yake,nk NijibastisheHapo nligusia kwa case ya ndani ila nje kuna aina zake za floor hiyo 3D haifai kabisa jua lazima liathiri kwa kiasi chake.
Jilipue tu mkuutu subiri ntakuonyesha sample za floor za nje tushauriane vijana waingie kazini.