Pendekezo: Wakuu wapya wa Mikoa na Wilaya

Kama amequalified vigezo it's ok,acheni mawazo finyu,China Korea n.k Kuna maCEO vijana wengi wanaendesha Taasisi kubwa kwa uwezo na si kupitapita maofisi mbalimbali ndo CV,hebu acheni akili mbovu za mrundikano wa miCV ya kucopy na kupaste tu
duu sawa mpambe wa pascal mtapata ukuu wa mkoa basi
 
Godwin Gondwe ni DC wa hovyo kuwahi kutokea. Hafai kabisa tuulize sisi wana Temeke.

Amekariri kuwa kiongozi ni kufokafoka tu bila kutumia akili
Ukiona manyoya ujue kishaliwa.
Nyinyi ndo mnaoleta mazoea Hapo temeke,hebu zunguka kwa wananchi watemeke upate ukweli.watu wanatamani atoke mwakabibi na si Gondwe
 
Yupo yule Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, anaitwa Lusubilo Mwakabibi hakika anastahili Mkoa mmojawapo Tanzania hii, Yupo vyema sana
 
Ukiona manyoya ujue kishaliwa.
Nyinyi ndo mnaoleta mazoea Hapo temeke,hebu zunguka kwa wananchi watemeke upate ukweli.watu wanatamani atoke mwakabibi na si Gondwe
Gondwe na alichafuliwa na Mfumo wa Shujaa wa Afrika. Angeweza kua kiongozi mzuri angeingia na kuwa mtulivu kujifunza kazi na utumishi. Kumbuka huyu aliokotwa kutoka redioni akachapwa uDC. Matokeo yale kaingia kakuta system imecorrupt na ushupavu wa kiongozi ukawa unapimwa kwa foka yake, makelele na media coverage. God hafai kama unataka tumlete kwenu ila Temeke hana nafasi
 
itakua ulikutana na nyundo zake wewe,unajua sababu ya kuletwa temeke lakini🔨🔨
 
itakua ulikutana na nyundo zake wewe,unajua sababu ya kuletwa temeke lakini[emoji375][emoji375]
Shujaa alikua mtu wa hovyo, huwezi kuniambia Gondwe aliletwa temeke kwa mission maalum zaidi ya kubadilishiwa kijiwe cha ulaj. Gondwe ni DC wa bure kabisa, baada ya kelemewa na tatizo la migogoro ya ardhi Handeni rais akaona labda mjini ataweza ...matokeo yake ndo hayo!
 
Mama asiende mbali kutafuta majina ya wakuu wa wilaya. Watu wako humu huku jf.
Watu Kama
Deceiver
Extrovert
Sky eclat
Mama kubwa
Zero IQ
KIDUKU LILO
Fasiliteta
Bush many.
Mbona wanafaa sana kuwa wakuu wa mikoa.
Nakuja na listi ya ma DC
 
Kwa jinsi ninavyoona muelekeo wa serikali baada ya kifo Cha JPM na kumpata Rais mpya Mama Samia Suluhu, ni wazi sasa panga pangua ya safi ya uongozi unaendelea ili mama apate cream yake ya kuliendesha gurudumu hili pamoja na kujarbu kurekebisha mapungufu madogo madogo ya mtangulizi wake yasijirudie.

Ameanza na wizara mbalimbali kaja makatibu wakuu na wakuu wa Taasisi za serikali. Ni wazi sasa wanaofata ni:
  • Wakuu wa mikoa
  • Wakuu wa wilaya
  • maDED
  • maDAS n.k.

Si vibaya pia kwa jicho la tatu kama wananchi tunaweza kutoa maoni yetu na pendekezo kwa nafasi hizi mbalimbali hasa wakuu wa mikoa na wilaya kama akipita humu aangalie sehemu ya wananchi wake Wana maoni gani kabla hajamalizia kufanyia kazi anayoendelea kuyapanga.

Binafsi namuona GODWIN GONDWE.

Apande cheo kutoka kua mkuu wa wilaya kua mkuu wa mkoa.

Jamaa ni mchapakazi sana na hana majivuno. Pamoja na umaarufu wake lakini anajishusha kwa wananchi. Ni mkuu wetu wa wilaya ya Temeke. Mimi kama raia nimemshuhudia Mara nyingi akitatua kero za watu na ukimsimamisha anasimama na kusikiliza kabisa na hata raia wengi wa Temeke ukiwauliza watakwambia hilo hilo.

Wananchi wengi tunatamani kesi zetu na shida zetu nyingi ziishie kwa wakuu wa wilaya au mikoa na si mpaka kwenda wizarani au Rais na kupata ufumbuzi na si majibu ya hovyo na nenda rudi kila siku Kama wakuu wengi wa wilaya wanavyosumbua wananchi wake.

Hakika GONDWE ni kiongozi haswaa.

Namuona pia Dada yetu JOKATE anavyopambana. Ni muda muafaka sasa akabiziwe mkoa wa Pwani ili aendelee kuutengeneza zaidi.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Kunenge aendelee huyu huyu maana hana papara kabisa. Huko mikoani pia tuangalie.

Nawasilisha
Tatizo hapa sio wazo lako kuhusu wakuu wapya ila tatizo hapa ni kutaja takataka na vimada wa watu.
 
Mikoa 25 umekuja na dongwe tu bila shaka huyu ni wewe...
 
UMewauliza wana kisarawe kuhusu jokate,unaijua kisarawe,kipi kilichobadilika kabla,na baada ya jokate kuja,unahadaika na vyombo vya habari,
pole ,jokate hamna kipya pale.
 
Sahihisha kauli yako ww sio mhanga bali ni mnufaika kwahiyo lengo lako ni kulipa fadhili kwa jema alilo kutendea
 
Kwa jinsi ninavyoona muelekeo wa serikali baada ya kifo Cha JPM na kumpata Rais mpya Mama Samia Suluhu, ni wazi sasa panga pangua ya safi ya uongozi unaendelea ili mama apate cream yake ya kuliendesha gurudumu hili pamoja na kujarbu kurekebisha mapungufu madogo madogo ya mtangulizi wake yasijirudie.

Ameanza na wizara mbalimbali kaja makatibu wakuu na wakuu wa Taasisi za serikali. Ni wazi sasa wanaofata ni:
  • Wakuu wa mikoa
  • Wakuu wa wilaya
  • maDED
  • maDAS n.k.

Si vibaya pia kwa jicho la tatu kama wananchi tunaweza kutoa maoni yetu na pendekezo kwa nafasi hizi mbalimbali hasa wakuu wa mikoa na wilaya kama akipita humu aangalie sehemu ya wananchi wake Wana maoni gani kabla hajamalizia kufanyia kazi anayoendelea kuyapanga.

Binafsi namuona GODWIN GONDWE.

Apande cheo kutoka kua mkuu wa wilaya kua mkuu wa mkoa.

Jamaa ni mchapakazi sana na hana majivuno. Pamoja na umaarufu wake lakini anajishusha kwa wananchi. Ni mkuu wetu wa wilaya ya Temeke. Mimi kama raia nimemshuhudia Mara nyingi akitatua kero za watu na ukimsimamisha anasimama na kusikiliza kabisa na hata raia wengi wa Temeke ukiwauliza watakwambia hilo hilo.

Wananchi wengi tunatamani kesi zetu na shida zetu nyingi ziishie kwa wakuu wa wilaya au mikoa na si mpaka kwenda wizarani au Rais na kupata ufumbuzi na si majibu ya hovyo na nenda rudi kila siku Kama wakuu wengi wa wilaya wanavyosumbua wananchi wake.

Hakika GONDWE ni kiongozi haswaa.

Namuona pia Dada yetu JOKATE anavyopambana. Ni muda muafaka sasa akabiziwe mkoa wa Pwani ili aendelee kuutengeneza zaidi.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Kunenge aendelee huyu huyu maana hana papara kabisa. Huko mikoani pia tuangalie.

Nawasilisha
Okay
 
Back
Top Bottom