Malaria Sugu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2009
- 2,653
- 264
1)Samwel Sitta
2)Anna Malechela
3)Ole Sendeka
4)Shibuda
5)Dk Harrson Mwakyembe .
Kwani tofauti kabisa walivyokuwa katika Utawala wa Mh Sitta. Walikuwa wameweka wazi msimamo wao kuibana Serekali kuhusu mambo ya misamaha ya kodi, huduma mbovu na sikuwahi kuwasikia wakiwaponda wapinzani wao kisiasa. i
Lkn Tangu Uchaguzi umalizike na kuingia kwa mara nyengine bungeni. hawa wabunge Kinyume nyume. watetezi na sio Tena wale.
Hubadilika badilika
Wasiwasi wangu.
Nahofia wakirudi Tena Bungeni sijui watakuwa mlengo gani kwa taifa letu. naogopa kusema wanaweza hata kuiza Tanzania yetu kwa wageni. pindi wakipewa uwaziri Mkuu na sehemu nyeti za madaraka kwani hawana msimamo thabiti wa juu ya tafa ketu. yaani inawezekana maslahi Vyeo na mali na sio maslahi taifa

Hahahahahaha .... haaaaaaaaahahahahaha ..... duhhhhhh![/QUOTE
mzee wakuona makosa?
Mkuu sijui kama unaelewa kwamba wanasiasa wote wanapigania milo yao!! Sitta kwa sasa yupo serikalini na kuna wakati anakaimu u waziri mkuu sasa unataka mungu ampe nini baada ya kuenguliwa kwenye uspika na kupoozwa na uwaziri!! Mwakyembe yupo serikalini anapata marupurupu na miposho; unataka afanye nini!! Imeandikwa katika maandishi matakatifu kwamba "Wakampiga Mchunga Kondoo na Kondoo wakatawanyika." Akina Anna na Sendeka hawana mchungaji!!! Mchungaji wao alishapigwa na wao wametawanyika!!!
Shibuda simsemei!!
kimbunga mbona umepotea sana!!tumemis comment zako mkuu!
Mambo mengi: Nilienda shamba kulima na huko REA haifanyi kazi yoyote kwa hiyo umeme hakuna. Minara ya simu hakuna na mkongo wa taifa haujafika huko. Mkuu nimerudi na nipo tele.