kujitangaza mbali na kupitishwa na chama kama mgombea mbali...kujitangaza ni kutangaza nia tu,wengi hufanya hivyo lakini mwisho wasiku chama humteua mmoja tu kugombea,muda bado upo kama mzee wangu slaa unanisoma hapa fikiria mara mbili hii kitu kwa maslahi ya taifa acha maslahi ya hawa jamaa wapotoshaji hapa,wanaokuogopa ukiingia bungeni utabidili muelekeo wa akmbi ya upinzani pale mjengoni ambayo imelega lega.
Agombee sawa, asigombee sawa, alimkataa JK sio Rais baadae naskia kaenda kunywa nae chai pale magogoni, Nyerere alikufa akiamini katika falsafa zake za azimio la Arusha na Siasa ya Ujamaa na kujitegemea:hat: