King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,754
- Thread starter
- #41
Aisee kumbe mkuu King ulikwishatoa pendekezo huyu jamaa atunukiwe ufanyakazi bora toka 2012!!! Sasa alipewa kweli au alinyimwa? Naomba jibu. Leo hii kuna jamaa kaja na thread kuwa huyu jamaa ni mfano kwa waandishi wa Tz, nami nime-msupport 100% na nimeenda mbele zaidi kuwa huyu jamaa tuombe sisi kama wana jamii apewe tuzo ya Mwandishi bora wa mwaka 2014 kwani anatoa habari zinazoigusa jamii na kuisaidia, hasa wale wenye matatizo
Hajapewa mpaka mda huu labda 2014 anaweza akalamba.