Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Hahahaaaa zama za maandamano yasiyo na kichwa wala miguu zitarudiWaziri wa mambo ya ndani anafaa saaaana MBOWE
Hahahaaaa zama za maandamano yasiyo na kichwa wala miguu zitarudiWaziri wa mambo ya ndani anafaa saaaana MBOWE
Sasa na wewe lazima urudie mara mia? Tumekusikia mara ya kwanza. Acha utotoNinampendekeza Balozi Khamis Kagasheki awe Waziri Mambo ya Ndani na Major General James Mwakibolwa yaani mtaona tifuatifua Home Affairs hao ni SMART
Mkuu unabishana kidato cha 6 wamemaliza mitihani yao ya taifaWee jamaa kumbe unabisha tu hapa ili mradi, nani kasema kuwa dc na rc ni lazima uwe mbunge ili uteuliwe?? Kasome katiba na uielewe!!
Mh. Rais wetu, hongera sana na pongezi kwa kazi kubwa ya UZALENDO WA MFANO KWAKO... Sisi wananchi tuko nawe kwa kila hatua, kamwe usikate tamaa...
Mm binafsi naona openly, kama unataka UTENDAJI NA SLOGAN YA HAPA KAZI TU.. hasa Wizara kama ya mambo ya ndani... MTEUE AGGREY MWANRI... ambae kwa sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora... Huyu mtu ni mchapa kazi kweli kweli...!!
Mh. Rais wetu ukitazama kwingine umwache Aggrey, basi yuko Balozi Khamis Kagasheki... huyu nae ni type yako...kwa hulka na uzalendo, utendaji na hana mchezo... Balozi Khamis Kagasheki..!!
The ball is yours sir..!!
Siku njema Mh. Rais Magufuli, hakika sasa najivunia kuitwa Mtanzania... Kamwe usife moyo, tunakuombea sana..!!
Mungu akulinde daima na milele..!! Na kwaheriiii...!!
Huyo jamaa amerudia rudia sana hadi keroSasa na wewe lazima urudie mara mia? Tumekusikia mara ya kwanza. Acha utoto
Huyu ana porojo nyingi sana, siasa nyingi sana!!Amteue kamanda kova kuwa mbunge baadae ampe hiyo wizara
Sasa anyongwe nani? Unaempendekeza weweNakwakikisha atutokaa tupate maendeleo bila kunyonga watu ii ya kuchekeana na kifungo cha siku2 tunaitaji mtu wa kunyonga watu mchana kweupe
Mwijage Ana fit pale alipo.Charles mwijage waziri mpya mambo ya ndani steven masele Wizara ya Viwanda Biashara na uwezeshaji
Izo co phlosophy za uongozi bora, watu wanaitaji kuheshiniwa na kulindwa wao na mali zao, but katika mfumo huu wa uwazi na ushndani wa kisiasa ukichagua mtu kisha akawa anawaua watu ovyovyo unakitengenezea kaburi chama pamoja na kutengeneza maadui wa wazi wazi dhidi yako, cha msingi ni kuteua mtu makini mwenye busara na anaeweza kutekeleza majukumu yake bila jazba wala mihemko ya vyama na itikadi, vinginevyo utakujajijuta the hague unatakiwa kujibu.....Nakwakikisha atutokaa tupate maendeleo bila kunyonga watu ii ya kuchekeana na kifungo cha siku2 tunaitaji mtu wa kunyonga watu mchana kweupe
Inasemekana anajua kufokea wafanyakazi wake ktk tv.huyu aggrey mwanri kafanya nini cha maana tamisemi zaidi ya kugomba bungeni?
halimashauri alizokuwa anazisimamia leo tunashuhudia uozo wa kutisha, wafanyakazi hewa na madudu mengi yako huko uwajibikaji hafifu. na mengine mengi.
mimi nadhani hafai,
chama kina hazina yaviongozi wengi atafutwe mwingine mpya ili afanye kazi kwa kasi ya awamu ya tano.