Pendekezo: Mhe John Mnyika (Mb) Ubungo, Gombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA uchaguzi ujao

Mhe ninakushauri ugombee nafasi ya uenyekiti wa chama taifa hii ni kuongeza ufanisi ndani ya chama na kufuta dhana ya ukazikasini.

pia kufungua mlango kwa vijana kuaminika na hatimaye mgombea urais awe ni kijana mwenye ngovu.pia ninashauri mzee wetu Dr Slaa abaki kuwa mshauri wa chama yeye na Mbowe.kisha mdee awe katibu wako.na kama wanachama wataridhia basi zito na wewe mchukue fomu za kugombea urais ndani ya chama na yeyote atakaye shinda kati yenu hakika atachukua nchi.achaneni na sera za mbowe unganisheni nguvu ya wapinzani wote.
huu ni wangu mtazamo.

:israel::bange:Ni wazi kabisa wewe uliyeandika hapo juu wewe ni kiazi na umetumwa na viazi wenzio magamba akina Ritz,Nepi,Mwagulu a.k.a mgoni na wengineo wengi, huwezi kutupangia nani agombee nafasi gani, hayo mambo ya hovyohovyo ya kulazimisha mtu fulani agombee cheo fulani yako huko CCM kwa mbumbumbu wenzako, au na wewe ni mmoja wa wazee wa Dar es salaam wanaopokea ngonjera za bedui na kurishwa utumbo wa kuku.
Waambie hao waliokutuma uposti hii thread ya kijinga wakome na wasirudie tena.
:iamwithstupid::music:
 
Mhe ninakushauri ugombee nafasi ya uenyekiti wa chama taifa hii ni kuongeza ufanisi ndani ya chama na kufuta dhana ya ukazikasini.

pia kufungua mlango kwa vijana kuaminika na hatimaye mgombea urais awe ni kijana mwenye ngovu.pia ninashauri mzee wetu Dr Slaa abaki kuwa mshauri wa chama yeye na Mbowe.kisha mdee awe katibu wako.na kama wanachama wataridhia basi zito na wewe mchukue fomu za kugombea urais ndani ya chama na yeyote atakaye shinda kati yenu hakika atachukua nchi.achaneni na sera za mbowe unganisheni nguvu ya wapinzani wote.
huu ni wangu mtazamo.

nakushauri kapime maralia mkuu!
 
I smell a rat!
 
hayo ni mawazo finyu na Mtazamo pogo usioenda shule. Yaelekea nyie mlio wengi humu mumetumwa kuja kuvuruga CDM... Wewe unadhani nchi inachukuliwa kienyeji kama ufinyu wa mawazo yako ulivyo siyo. Think more deeper ... usilete hoja za kuvuruga chama makini hapa....
 
wazo lako ni zuri ila tu limeharibika tu ulivyomtaja zitto kwa sasa hatufai awe tu mwanachama. Mnyika YES YES

Binadamu wote ni sawa, na CDM ni yetu. Uwe wewe, mimi, mbowe, Zitto, sijui mnyika wote tunafaa sana kuliko kawaida. Kilichoko hapa ni kutafuta nani kati yetu tulio bora wote atuwakilishe. hakuna aliye zaidi ya mwingine hapa...kwa kipimo gani?... acheni kuleta porojo. Leteni vitu vyenye tija ili tukikomaze cahama vijiini.
 
Moderator ipeleke hii kwenyi jukwaa la burudani :becky::becky::becky::dance::dance::dance:
 
Ulipo weka PREZZO tu hapo umeharibu kila kitu, Pia uliposema MKOMBOZI DR.SLAA akae pembeni pia hapo umeharibu kila kitu,

wito:
kamanda Ben Saanane hebu njoo umulike huyu mtu kama ni masalia au siyo masalia.

Hapo kwenye nyekundu Mkuu ukiwa msaliti ukiona sura ya huyo jamaa lazima ujifiche
 
Mnyika ni Hazina ya CDM, bila ubish hata CCM wanatamani wangekuwa na kijana mwerevu kama Mnyika.
 
kweli Zitto ipo kazi, huu uchafu kila mahali wa nini?Chuki kwa mbowe na Dr.Slaa ya nini?Nyie vimeo hamjui kuwa nao wanayo haki ya kuongoza chama km walivyochaguliwa? CDm watajuta sana kukaribisha uchafu ktk chama.Sasa wanaanza mzoea Mnyika.nani kawaambia Mnyika ana time na huo uchafu?Mnyika anajua time yake .Kwa kushauriana na wazee wa Chama God willing time will come when he will go for presidency, kama alivyosubiri ubunge hata alipohujumiwa na Zitto bado alikuwa mtiifu na mwishowe akacheka vyema.Sasa mnaanza let ahabari chafu juu yake ili nini ili avutike na kufikiri hivyo.Kwanini unadhanai Mbowe na Dr. wakae pembeni,wewe ndio unayo veto? Narudia Tena ,CDM watajutia sana kuwa na fikra kuwa uchafu unaweza kuwa watu na kuishi na watu.
 
Mhe ninakushauri ugombee nafasi ya uenyekiti wa chama taifa hii ni kuongeza ufanisi ndani ya chama na kufuta dhana ya ukazikasini.

pia kufungua mlango kwa vijana kuaminika na hatimaye mgombea urais awe ni kijana mwenye ngovu.pia ninashauri mzee wetu Dr Slaa abaki kuwa mshauri wa chama yeye na Mbowe.kisha mdee awe katibu wako.na kama wanachama wataridhia basi zito na wewe mchukue fomu za kugombea urais ndani ya chama na yeyote atakaye shinda kati yenu hakika atachukua nchi.achaneni na sera za mbowe unganisheni nguvu ya wapinzani wote.
huu ni wangu mtazamo.

Asante, hata hivyo ushauri wako sikubaliani nao kwa kuwa hauna tija kwa chama wala kwa taifa.

JJ
 
Thank you John.... Kuna jitihada la makusudi kuwapotezea muda viongozinwa chadema kutoka kwa masalia, and they are paid huge sum (in their standards)

Welldone
 
Asante, hata hivyo ushauri wako sikubaliani nao kwa kuwa hauna tija kwa chama wala kwa taifa.

JJ

Ushauri wake una tija kwa wana masalia mmoja wao agombee hiyo nafasi kwenye chama chao cha umasalia
Wanajamvi tumpuze huyu nimemgundua ni kati ya wale walioapishwa kwa sangoma anaona hii ni plan B ndo mwisho wake wa kufikiri umefikia tumshauri apite lumumba J3 asb mapema akachukue ya sikukuu
 
Asante, hata hivyo ushauri wako sikubaliani nao kwa kuwa hauna tija kwa chama wala kwa taifa.

JJ

Mkuu JJ

Asante sana kuja hapa na kumpa Live huyu Masalia.Hawa vigagula wanadhani tunawaogopa.

Mnyika anafaa sana kuwa Mkiti miaka ijayo lakini si sasa.Bado tunamhitaji Mbowe kwani ndiye atatuongoza kukamata dola.Dr Slaa bado tunamhitaji kama Rais wa kwanza wa Tanzania huru.

Be blessed JJ Mnyika.
 
Cdm ni taasisi ya watu wachache au taasisi ya umma.??Muda utatoa majibu tu,propaganda na porojo za humu JF haziwez toa majibu.we should have diversity thinkin'.
 
Back
Top Bottom