Pendekezo kwa Tundu Lissu na CHADEMA

Pendekezo kwa Tundu Lissu na CHADEMA

Mdaiwa-Sugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
284
Reaction score
912
CHADEMA kina sera nzuri zenye kukosha na kukonga nyoyo za watanzania ingawa muda wa nusu saa anaotumia Tundu kujinadi ni mchache sana kiasi kwamba mambo mengi ya muhimu(sera) yaliyomo kwenye ilani hayagusii kutokana na kupanda jukwaani muda ukiwa umeenda halikadhalika kutumia muda mfupi kujinadi.

Hivyo basi niungane na watanzania wote wapenda mabadiliko kushauri au kupendekeza jambo moja, kuwa;

Mgombea wetu wa kiti cha Urais, bw. Tundu Antipas Lissu atumie muda wa kutosha angalau kati ya masaa mawili au moja na nusu kuchambua, kueleza na kunadi kinaga ubaga sera zinazobeba ilani ya chama.

kutumia muda mwingi kunadi sera za chama kutasaidia kujenga ushawishi na wananchi kuelewa kwa kina juu ya nini bw. Tundu Antipas amekusudia kuwafanyia endapo wakimpa ridhaa ya kuwaongoza 2020 - 2025.
 
Wanakuja wenyewe chama kujibu ndugu yangu, kama huna moyo bora usingeandika maana nahisi na matusi utayapata
 
Wapenda mabadiliko chanya wote tutampa kura dr magufuli lissu aweke CV tu kuwa aliwai kugombea urais
 
Dk 30 za Lissu zina maana kuliko massa 8 aliyoongea magufuli. Muongo huzunguka sn ili kuaminisha uongo wake.....

VIVA LISSU
 
Lissu ni genius wa siasa alianza kwanza kwa kumshambulia jiwe akamvunja confidence, saizi anamwaga sera. atakavyomalizia sipati picha.
 
Wabongo hawachagui kwa sera wala hizo sera zenyewe hawazielewi,wabongo wanachagua vyama. 2015 Lowassa alikuwa anaongea dk 3 ila walimpigia kura hivyo hivyo.
 
Wapenda mabadiliko chanya wote tutampa kura dr magufuli lissu aweke CV tu kuwa aliwai kugombea urais
Magufuli amepwaya na ahadi zake zisizo tekelezeka ngoja tusikilize na upande wa pili pengine wakawa na sera za kuwakomboa wananchi ktk lindi la umasikini
 
CHADEMA kina sera nzuri zenye kukosha na kukonga nyoyo za watanzania ingawa muda wa nusu saa anaotumia Tundu kujinadi ni mchache sana kiasi kwamba mambo mengi ya muhimu(sera) yaliyomo kwenye ilani hayagusii kutokana na kupanda jukwaani muda ukiwa umeenda halikadhalika kutumia muda mfupi kujinadi.

Hivyo basi niungane na watanzania wote wapenda mabadiliko kushauri au kupendekeza jambo moja, kuwa;

Mgombea wetu wa kiti cha Urais, bw. Tundu Antipas Lissu atumie muda wa kutosha angalau kati ya masaa mawili au moja na nusu kuchambua, kueleza na kunadi kinaga ubaga sera zinazobeba ilani ya chama.

kutumia muda mwingi kunadi sera za chama kutasaidia kujenga ushawishi na wananchi kuelewa kwa kina juu ya nini bw. Tundu Antipas amekusudia kuwafanyia endapo wakimpa ridhaa ya kuwaongoza 2020 - 2025.
Lissu aongee hata miaka 5 mfululizo akinadi sera za CHADEMA hachaguliki. Ni wendawazimu tu wanaweza kumpa kichaa kura na madaraka. Ni wasaliti tu wanaweza kumpa kibaraka kura na madaraka. Ni magaidi tu wanaweza kumpa haramia kura na madaraka.
 
Dk 30 za Lissu zina maana kuliko massa 8 aliyoongea magufuli. Muongo huzunguka sn ili kuaminisha uongo wake.....

VIVA LISSU
Lissu ndo mwongo namba moja aliyezunguka nchi nzima kutafuta wadhamini. Wagombea wanaokubalika kwa Watanzania wamekaa tu wadhamini wanajileta wenyewe. Hakuna nchi hii kama Magufuli. Lissu ataisoma namba. Ushindi atakaopata Magufuli mwaka huu utamkimbiza Lissu kurudi kwa mabeberu wake na kuishi milele. Watanzania wanajua mchele ni upi na pumba ni zipi.
 
Lissu ni genius wa siasa alianza kwanza kwa kumshambulia jiwe akamvunja confidence, saizi anamwaga sera. atakavyomalizia sipati picha.
Genius kwa uongo hapo sawa. Genius asiyejua kufanya assessment ni wakati gani unafaa yeye kugombea. CDM watajuta kumteua Lissu. Baada ya uchaguzi watamfukuza uanachama kwa fimbo.
 
Lissu ndo mwongo namba moja aliyezunguka nchi nzima kutafuta wadhamini. Wagombea wanaokubalika kwa Watanzania wamekaa tu wadhamini wanajileta wenyewe. Hakuna nchi hii kama Magufuli. Lissu ataisoma namba. Ushindi atakaopata Magufuli mwaka huu utamkimbiza Lissu kurudi kwa mabeberu wake na kuishi milele. Watanzania wanajua mchele ni upi na pumba ni zipi.
Acha kuweweseka mkuu...

Back
Top Bottom