Pendekezo:Kiwanja cha Chato kiitwe Pombe International Airport

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
53,683
120,377
Hakuna Namna,Kwa mujibu wa bajeti ya 2016/17 bajeti ya maendeleo imetenga 2b kwa ajili ya kujenga uwanja wa ndege huku Wilayani Chato,Napendekeza kuwa uwanja huo uitwe Pombe Airport,na kama itakuwa ni uwanja wa kimataifa iwe Pombe International Airport.....Speculation:Labda airport hiyo ni maandalizi ya vìwanda kila mkoa,kwamba kijengwe kiwanja kwanza halafu ndo kiwanda
 
Mm huyu rais huwa namshangaa sana anawakataza watu wasiwe wanakunywa pombe wakati yeye mwenyewe jina lake anaitwa pombe.
Watu wanao kunywa pombe wakisikia jina pombe kwanza kiu kinawashika.
 
Mie nashauri kufanyike mabadiliko makubwa ya majina ya maeneo yote yabadilishwe majina Na kuitwa jina la kiongozi ili kumwenzi Kwa utendaji wake
 
Mie nashauri kufanyike mabadiliko makubwa ya majina ya maeneo yote yabadilishwe majina Na kuitwa jina la kiongozi ili kumwenzi Kwa utendaji wake
Mkuu hujamwelewa mtoa mada,kaleta hoja kwa mgongo wa kinafiki kama humujui misimamo yake unaweza amini kuwa anania njema.
 
Airport kipaumbele zaidi hata ya Kiwanda!! Wana Chato wangepata kiwanda hata kuajiri watu 1000 ingesaidia zaidi airport kuona JPM akija na kuondoka baadae kinafungwa!! Kweli watawala wanabadilika wakipewa vyeo! Huyu ndio mfia masikini huyu? Hapana aiseeee....hana lolote ni ile ile
 
Anabana matumizi ndio maana hataki kuwa anashukia geita, bora ashukie chato.......lakini jaman tusilaumu tukumbuke kuanzia kwa benny alipeleka privileges nyingi kusini, msoga akaja akapeleka bandari bagamoyo, vyuo, gas, barabara nyingi bagamoyo....wakati huo huo pinda bila kuangalia singida ni mkoa mkongwe kuliko katavi lakini akapeleka airport katavi,

Sasa kama magu nae kaona aanze na nyumbani kwake kwanza basi tuangalie ni nature trend ya watawala wa magambani so let him do it hili tuisome namba vizuri......especially masikini walioaminishwa huyu ndio mkombozi wao acha waisome kweli kweli...

Magu ukimaliza chato international airport, ukuye utubadilishie mwanza airport hiwe ya kimataifa alaf twende geita na kahama then shinyanga na simiyu wajiandae.
 
Mm huyu rais huwa namshangaa sana anawakataza watu wasiwe wanakunywa pombe wakati yeye mwenyewe jina lake anaitwa pombe.
Watu wanao kunywa pombe wakisikia jina pombe kwanza kiu kinawashika.
Itakuwa poa sana wakijenga kiwanda cha safari karibu na uwanja huo ili atakaeshikwa kiu akapoze kwa uonja kitu pale kiwandani
 
Mkuu hujamwelewa mtoa mada,kaleta hoja kwa mgongo wa kinafiki kama humujui misimamo yake unaweza amini kuwa anania njema.

Kwani nia njema inaonekana vipi !?.Huo ni mtazamo wake tu hizo habari za nia mbaya labda umeziingiza wewe mkuu kwa sababu za kiitikadi ...

Nnaunga mkono hoja ...
 
Back
Top Bottom