Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Ni Kweli kiondolewe.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinachoitwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara nyingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi. Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine.
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri. Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza, jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Waongopee wasiojua Rwanda,kuna maendeleo gani,au maghorofa ndio maendeleo. Alichoweza MTU mrefu ni kuzuia mabaya ya nchi yake yasitoke nje kwa kufanikiwa kuchuja habari azitakazo yeye ndo zitoke ukiripoti kinyume lzm usione kesho yako anasema umevuka mstari mwekundu.Subiri akiondoka madaraka si umilele hata kwa uzee haukimbiwi yataibuliwa mabaya.Rwanda si mfano mzuri wa haki za binadamu hasa watuhumiwa kusingekuwepo na mrundikano wa mahabusu magereza ya Rwanda.Yaani bora hata ungeitaja nchi nyingine hapo tofauti na Rwanda Mkuu kwani hakuna nchi ambayo inachukiwa na Watanzania kama ya Rwanda japo ni ukweli usiopingika kuwa Tanzania ina mengi ya Kujifunza kwa Rwanda hata kuliko Rwanda ambavyo inaweza Kujifunza kwa Tanzania. Na Kitu kikubwa ambacho Watanzania wanaweza Kujifunza kutoka kwa Taifa la Rwanda na hasa Wanyarwanda ni namna gani ya Kutumia ' Akili ' vizuri katika Kujieletea Maendeleo. Binadamu wote tuna Akili ila Akili za Wanyarwanda zinatumika mahala sahihi na kwa wakati sahihi na pia kwa malengo yaliyo sahihi kabisa. Chuki ya Watanzania kwa Wanyarwanda na Taifa lao la Rwanda wangeigeuza iwe ni Upendo na Imani Kwao basi leo wangekuwa mbali mno na Wanyarwanda siyo Wachoyo wa Kukupa ' Maarifa ' kama wakijua au ukijijua Wewe ni ' Popoma Mwandamizi ' kabisa. Ukiichukia Rwanda na Wanyarwanda ni lazima tu utakuwa na matatizo makubwa ya ' Akili ' na pengine unahitaji Tiba ya haraka Mirembe.
Long live Rwanda!
Aliweza IGP Msomi Said Mwema Mungu ampe maisha marefu kwa kulifanya jeshi kiwe services angalau liwe kisomi zaidi.Tungeanza Kwanza nakubadili mfumo wa jeshi letu la Polisi.Liitwe TANZANIA POLICE SERVICE.
Waongopee wasiojua Rwanda,kuna maendeleo gani,au maghorofa ndio maendeleo. Alichoweza MTU mrefu ni kuzuia mabaya ya nchi yake yasitoke nje kwa kufanikiwa kuchuja habari azitakazo yeye ndo zitoke ukiripoti kinyume lzm usione kesho yako anasema umevuka mstari mwekundu.Subiri akiondoka madaraka si umilele hata kwa uzee haukimbiwi yataibuliwa mabaya.Rwanda si mfano mzuri wa haki za binadamu hasa watuhumiwa kusingekuwepo na mrundikano wa mahabusu magereza ya Rwanda.
Kawadanganye wasiofika RwandaJust keep your ' Pig Mouth ' shut please!
Nchi nyingi zimesha ondokana na upelelezi kufanywa na jeshi la polisi. Kwa dunia ya sasa lazima twende haraka na kwa uhakika.View attachment 1240633
Polisi hafai kuwa investigator. Kuna investigation ambazo zinahitaji watu professional.Halafu watakaopata ajira wawe ni haohao polisi.
Ishu siyo kwamba nako watakuwepo. Investigation zilizo nyingi zinahitaji professionalism.Hata ikitengwa,,watumishi wake pia waharifu watakuepo
Ni kama ilivyo TAKUKURU pia inawafanyakazi wala rushwa
Upelelezi unaozungumziwa hapa ni cases kama zile mtu amepata ajali ameharibu labda mali za watu. Hivyo mwenye mali zake labda akaenda kufungua kesi.mzee kama hujui ungeuliza, ndani ya nchi yetu kuna vikosi vingi vya dhahiri na vya siri, ukiwa nje kwa jicho la kawaida huwezi kuvigundua, kwa kifupi upelelezi umeanzia mbali sana, kuna boda boda, washona viatu, wafanyabiashara ndogo ndogo, waganga wa kienyeji, mabalozi wa mitaa, mabarozi wa vijiji, wahudumu wa baa, watangazaji, waandishi wa habari, mapolisi, wanajeshi, askri magereza, zimamoto, uhamiaji, mgambo nk. n.k.... ila sijasema kuwa wote nilio wataja hapo ni wapelelezi ila ndani ya hayo makundi kuna wapelelezi ambao sio polisi ila nao ni wapelelezi wenye malengo tofauti tofauti kutokana na mahitaji husika.
kikosi cha INTELIJENSIA ndani ya jeshi la polisi kimefanya kazi kubwa, na kitaendelea kufanya kazi nzuri, hakitaondolewa kama unavyodhani isipokuwa kitazidi kuimarishwa ili waweze kupambana na majanga ambayo unadhani wameshindwa kufanya.
Upelelezi unahitaji professionalism siyo porojo.Kitolewe kwasababu zipi?
Weka sababu na sio kuleta maada za kutaka jambo lifanyike kwa manufaa au chuki zako au kwa kuiga
logicWazo ni zuri ili polisi wafanye kazi zingine,na kiwe huru kisifungamane na upande wowote ili kuleta haki kwenye jamii.Polisi kuna mapungufu mengi zipo case study za watuhumiwa kulazimishwa kukubali kusainishwa hata kwa makofi na vipigo na watu kulazimishwa kukiri.Kiwe huru kijitegemee kiwe na muundo wake tofauti kiajiri wasomi waliobobea kwenye upelelezi na uchunguzi kuwa chini ya polisi kwakweli si haki kwa maana kuwa chini ya polisi kuna mapungufu mengi sana ya kiutendaji,mfumo na muundo wa polisi umejengwa kwenye matumizi ya nguvu na amri zaidi na si weledi na utu hao wabakie kwenye kazi za kutumia nguvu tu.Upelelezi unataka matumizi makubwa ya akili kuliko nguvu ili kutenda haki haki ikitendeka tutapunguza msongamano wa mahabusu,uchelewaji wa kesi,gharama za kuhudumia mahabusu,itapunguza rushwa maana mahabusu ni miradi ya watu ili kesi yako upelelezi ukamilike haraka ni lzm utoe rushwa kama utaki kukaa mahabusu mda mrefu zaidi ya hapo utaozea utasaulika mahabusu kila siku upelelezi haujakamilika,sasa kama upelelezi haujakamilika mnamshikilia vipi mtu, kwann msikamilishe upelelezi kwanza kisha ndo mmshikilie MTU.
Upepelezi unahitaji professionalism. Hivyo kuwaachia hilo jukumu polisi siyo sawa kabisa.
Wenzetu wanayo mengi kweli ktk nchi moja, hata hawa wapelelezi itafikia Siku tutataka kuwa peleleza pia hivyo tutataka tuunde agency nyingine ya upelelzi na kuipa mamlaka juu ya taasisi iliyopo...
Hili nalo ni neon mkuu,halafu tungeunda IPID hawa ni polisi wa kuwachunguza polisi kuona wanaendesha shughuli zao kwa kufuata sharia,wana uwezo wa to arrest police mwenzao,wana uwezo wa kupeleleza kesi inayowahusu polisi na wana uwezo wa kumpeleka mahakamani polisi anayeonekana ana kesi ya kujibu;kwa Tanzania tunatusubiria sana.Tungeanza Kwanza nakubadili mfumo wa jeshi letu la Polisi.Liitwe TANZANIA POLICE SERVICE.
True polisi ni matumizi ya nguvu zaidi kuliko akili we check hata ukienda mapokezi zao si professionalism kabisa mnatreatiwa kwa ukali ukali tu.Nature ya kazi zao ndo inawashape hivo wapelelezi wasichanganywe wawe huru ili wasipate ile inayoitwa police culture, wawe huru kufanya kazi professionalism kama FBI,CIA,nkUpepelezi unahitaji professionalism. Hivyo kuwaachia hilo jukumu polisi siyo sawa kabisa.