Unaaminisha nini unaposema DPP Ni execution...?DPP ni execution .. bado tutakua hatuja solve tatizo.
Very logical Idea.Polisi nao wanatakiwa kupelelezwa.
Pili ufanisi ni mdogo sana kwa sasa.
Jeshi la polisi libakie na jukumu lake la kilinda raia na mali zao
Wacha jeshi lifanye kazi yake
Kwani unapungukiwa nini upelelezi kuwa polisi?
Anaweza asifanye upelelezi wa uhakika kwa sababu dpp kazi yake ina siasa kidogo.Unaaminisha nini unaposema DPP Ni execution...?
Mkurugenzi wa mashitaka mwenye mamlaka ya kuipeleka kesi mahakamani au la, huyu angekua mtu sawia ili anapoamua kupeleka kwa pilato faili linakua limeshiba.
Muharifu kujipeleleza ndicho anachopungukiwa
Ushauri mzuri sanaMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinacho itwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara ngingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi.
Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri.
Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza na jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Vilevile ile bureau ikianzishwa itapunguza urasimu na rushwa kwa kiasi kikubwa ndani ya jeshi la polisiMoja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinacho itwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.
Na mara ngingine unakuta kuna tukio ambalo polisi wanahusika na kitengo kinatakiwa kufanya upelelezi.
Nadhani ni wakati sasa kukiondoa iwe taasisi inyo jitegemea kama zilivyo taasisi kama hizi nchi nyingine
Ina maana hata Rwanda wanatuzidi kufikiri vizuri.
Rwanda mwaka 2018 wamekiondoa kitengo hicho polisi na kuunda taasisi mpya inayo itwa RIB.
Nadhani Magufuli na baraza lake wanaweza na jambo hili litakua muarobaini wa kesi nyingi ambazo zinawatesa wananchi kwa kusubiria upelelezi.
Tanzania Bureau of Investigation.
Hiki kitu nikishakiwaza miaka mingi.ila sikua na uhakika kama kuna baadhi ya nchi imewezekana kukitenganisha na polisi.Moja ya mambo ambayo yanaturudisha nyuma ni pamoja na hiki kitengo kinacho itwa cha upelelezi ambacho hadi sasa ni sehemu ya jeshi la polisi.