Pendekezo: Kim Paulsen arejeshwe haraka.

logframe

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,240
5,533
Kim said he was happy at the improvement of the players, despite the challenges he was facing within the Tanzania Football Federation (TFF).

Maoni yangu :
Sina chuki na kocha mkuu na Benchi la Ufundi ila kutokana na matokeo mabovu, TFF na wahusika wengine, nawaomba mfikirie tena juu ya huyu mtu na timu yake ya utaalamu.
Tunakumbuka vijana wengi wa AFCON U-17 ya kina Kabwili, Yohana nk na hii ya sasa ni tofauti.
Tusitamani kuvuna bila ya kupanda mbegu za gharama.
Kama tulidhani kocha wa kigeni kuwa mtaalamu wa soka la vijana ni ufujaji wa pesa basi haya ni matokeo.
Sote tunasikitika na matokeo haya japo tunajifariji na maneno matamu kila baada ya mechi .
Kuna watu tumejaa maneno matupu bila vitendo ila Paulsen sikumuona mara nyingi kwa makamera bali kivitendo zaidi.
Nawasilisha.
 
Wazawa wanagagania kitu halafu hawawez
Mkuu Mimi naona kabisa tofauti kubwa.
Hapo ndo kipimo sahihi, sio lile kombe la Rwanda tu kapata kujisahau kuwa tunayaweza.
Mswahili maneno mengi sasa ukimwamini ndo haya.
Si kwamba Paulsen akija hatufungwi hata kidogo, la hasha lakini wenzetu misingi ya soka tukubali kuwa wanaielewa na saikolojia ya vijana.
 
Dar es Salaam. Tanzania’s youth football team’s technical advisor, Kim Poulsen has resigned from his post.

Speaking with The Citizen yesterday, Kim said he felt very sad to make that decision, explaining he was leaving the talented national U-16, Serengeti Boys, who won the East and Central Africa Youths Challenge Cup in Bujumbura, Burundi, in April this year.

Kim said he was happy at the improvement of the players, despite the challenges he was facing within the Tanzania Football Federation (TFF).

“I’m very sad to announce that. This is because I am leaving the young boys who are used to being together in many situations. However, sometimes you have to make decisions that everybody will ask why you have done that"

Sii maneno yangu bali

Courtesy - The Citizen newspaper.
 
Oscar Mirambo si ni mwalimu wa Sekondari? Elimu yake ikoje kwenye mchezo? Uzoefu? Mwenye taarifa azimwage hadharani
 
Oscar Mirambo si ni mwalimu wa Sekondari? Elimu yake ikoje kwenye mchezo? Uzoefu? Mwenye taarifa azimwage hadharani
Wawarudishe benchi la BAKARI SHIME tu afadhali, Mirambo hajaweza kutoshea mikoba yao kwa AFCON.
 
Na kesho Game ipo hati hati kushinda, inabidi wajitoe kinyume na uwezo
 
Uko sahihi! Viongozi hapo Tifuatifua wanaona mwisho wa pua tu hawana malengo ya muda mrefu wao daima ni zimamoto.
 
Back
Top Bottom