Pendekezo: John Heche amrithi Zitto Kabwe

vijakazi vya mbowe hapa utavijua tu. aibu kwenu.

heche ana uwezo gani wa kumfananisha na zitto.
 
Mkuu nakushukuru sana.Eti mambo ya CDM wao Magamba ndiyo washauri.Nadhani viongozi na wanachama makini wamenielewa.

Nimekubali kweli heche ndio mwenyekiti wa baa yaa vichaa, bavicha kama huyo nafasi ya Mama juniour a,k,a sugar mamy ndio inamfaa pale makao makuu
 
Neno mwanamapinduzi limepoteza maana sasa Heche naye ni mwanamapindunzi.
na wewe upo? kweli ccm wana bidiii tupatie majibu kwa nini samweli sitta hatakiwi ccm basi kama uko neutral
 

Nasikia jamaa alikuwa anasugua disc pale bills ni kweli?
 
bwana heche anastahili kama ni kura hata mimi ningempa leo kaongea kwenye radio KASIBANTE mambo ya msingi saana huku kagera kwa kweli
 
Kwa uwezo mkubwa ulioonyeshwa na Mpambanaji John Heche, mi binafsi naungana mkono kabisa na mtoa Hoja, lakini napendekeza CDM wafike mbali zaidi huyu jamaa ktk uchaguzi ujao ndani ya chama apewe nguvu zaidi kwa kuchaguliwa kuwa M/kiti wa Chama Taifa ili aweze kukijenga chama kuelekea 2015 na hatimaye apitishwe na chama kuwakilisha nafasi ya Urais kupitia CHADEMA kwani anakubalika na watu wa kada zote, hivyo Mbowe, Slaa na Zitto wamwachie huyu kijana mpambanaji.
 

kwa uwezo aliouoyesha.Jaribu umiza hiyo akili kidogo uone CDM ilipotoka na ilipo,kama bado kuna byte zimebaki basi jaribu pia fikiria inapokwenda.
 
Kazi anayoifanya Zitto kwa CDM inafananishwa na matap tap ya Heche?? Dah, kweli hapo hamna chama!

Na hapo ndipo hasa tatizo lilipo.

Kwa ninyi (pro-ccm) kummsapoti Zitto (mna haki bila shaka). Ila tu mjue kuwa vitendo vyenu hivyo kwa ujumla wake huwa vinathibitisha kwa sehemu kuwa yeye ni double-agent. The book has been closed!
 
Mara nyingi nimeomba kujuzwa hizo kazi maalum, za muhimu, za kipekee anazozifanya Mh; Zitto ni zipi lakini sijapata majibu.

Tafadhali mwenye nazo atuwekee. kama ni zile za nishati na madini..........basi mambo yameshakwenda harijojo!
 
Nasikia jamaa alikuwa anasugua disc pale bills ni kweli?
Hilo pekee yake haisemi chochote kuhusu uongozi Bw. Ronald Reagan (moja wa maraisi Marekani) alikuwa mtangazi wa redio na mcheza sinema lakini rekodi yake ni nzuri sana kiuongozi kulinganisha na Maraisi wengine kama Bw. Obama ambaye ni Prof. wa Chuo Kikuu!

 
Kauli aliyoitoa zito kwenye mtandao wa tweeter ya kwamba yeye amekitoa chama mbali na hivyo kukaakwake kimya ni kuwa ameamua kuwaachia wenzake wakijenge chama je ina mashiko?

Kama kweli ndivyo kaamua mbona hachoki kuambatana na mzee mkubwa kila mahali kama walet?, kazi anayoifanya heche vijijini ya kutoa elimu wa uraia ilitakiwa ifamye na zitto lakini yeye kajichimbia hotelini mwanza na kazi anayo ifanya ni kutupia vijihabari tweeter.

Je hii ina maanisha zitto kaichoka chadema kiasi cha kusema amekitoa chama mbali hivyo kaamua kuaachia wengine?

Kama yeye amekitoa chama mbali,na wakina ndesamburo, mabere marando,mbowe,watasemaje?

Mwenyekiti wa Bavicha Taifa, John Heche, akihutubia Mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nsisha, Kagoma, Wilayani Muleba, Mkoa wa Kagera.
 
Hivi kumbe Slaa bado anasikika kwenye duru za siasa ya Tanzania?

yaani kama unaulizia kam Ipad ipo katika anga za tablets .CDM ni km Apple ,any product is a brand on itself just like the company.
 

oh oh..sikujua kama kuwa likuwa for presidency ,ila bado anafight na heche..teh teh...nataka yote kwa mkupuo takosa kila in an instance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…