Pendekezo: Intelijesia ya CHADEMA iongezewe mshahara mara 3 zaidi.

Pendekezo: Intelijesia ya CHADEMA iongezewe mshahara mara 3 zaidi.

yani kupika tarifa na kuziita za siri wewe ndiyo umeona kitu cha maana mpaka uwe na mawazo kama hayo?

Ni vema utafakari upya hicho unachodhani kuliko kuruka ruka tu.
 
Waache wachukue nchi kwanza, wakiongeza saizi, akina ritz watataka kujichomeka.
 
yani kupika tarifa na kuziita za siri wewe ndiyo umeona kitu cha maana mpaka uwe na mawazo kama hayo?

Ni vema utafakari upya hicho unachodhani kuliko kuruka ruka tu.
Mwanga hajifichi, utamwona tu kwa lugha zake.
 
yani kupika tarifa na kuziita za siri wewe ndiyo umeona kitu cha maana mpaka uwe na mawazo kama hayo?

Ni vema utafakari upya hicho unachodhani kuliko kuruka ruka tu.

Dr. Kitila ambaye aliandaa amekiri kuwa ndiye aliyeuandaa na kwamba ulikuwa wa siri, wewe unasema umepikwa. Hata kama huna akili usionyeshe kwamba kweli huna akili kwa kiwango hicho.
 
Yaani inazidi TISS. Tukikomboa nchi tutachagua TISS mpya hii iliyopo imeoza na inanuka rushwa na mauaji. Ndio maana wako busy kuhakikisha magamba wanabakia madarakani ili wazidi kugawana rasilimali za nchi.
 
Kiukweli kila mtu atakiri kwa kazi kubwa wanayofanya, haina haja ya kuelezea wote mnajua umahiri walionesha.

Hebu anza upya. Intelijensia imefanya kazi gani kwa umahiri?
Mi najifunza tafadhali majibu mkuu
 
Matukio yanayoiimarisha CHADEMA
1. Orodha ya mafisadi papa 11
2. Dowans na Richmond
3. Ufisadi EPA
4. Kufeli kwa mchezo mchafu wa Ludovic/Lwakatare hapa ndipo lilipangwa kaburi la chama......
5. Kunaswa mikakati mingi ovu ya kuiangamiza CHADEMA
Mambo haya yananipa moyo kuona CDM inafaa kupewadola, Ccm wanafahamu hiki ni chama makini
 
naona kna ben saanane na yerko nyerere wazee wa kutembea na sumu mifukon mnakuja na id gake kuomba mbowe awaongezee pesa kwa kutumiwa kupka taarfa za uongo ili mbowe na mtyei waendelee kuongoza saccos yao...je membe huwa anawapa kias gan
 
naona kna ben saanane na yerko nyerere wazee wa kutembea na sumu mifukon mnakuja na id Fake kuomba mbowe awaongezee pesa kwa kutumiwa kupka taarfa za uongo ili mbowe na mtyei waendelee kuongoza saccos yao...je membe huwa anawapa kias gan ...

😛out:NJAA MBAYAAAAAAAAAAAAAAA SAAAAAAAAAANA SAANA
CC.BEN SAANANE,,YERCKO NYERERE:closed_2:
​
 
Back
Top Bottom